Serikali ya Kenya kuwapunguza kazini maelfu ya Wafanyakazi wasio Waalimu kutoka Vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juu

Serikali ya Kenya kuwapunguza kazini maelfu ya Wafanyakazi wasio Waalimu kutoka Vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Uamuzi huo wa kuwaondoa kazini Wafanyakazi wasio wa Kada ya Ualimu (Non Academic Staff/ Administrative Staff) umechukuliwa ili kupunguza mzigo mkubwa wa madeni unaovikabili Vyuo hivyo Vikuu nchini Kenya

Kwa mujibu wa taarifa rasmi ni kuwa Vyuo hivyo vinadaiwa madeni yenye thamani ya Ksh bilioni 37.5 huku asilimia kubwa wakidaiwa na Mamlaka ya Mapato ( KRA)

KTN
 
Kenyatta ataicha kenya kama Zimbabwe
 
Back
Top Bottom