Ndio maana tunachekwa sana nchi zetu hizi za dunia ya tatu,why DCI hakufanya uchunguzi wa kina kuhusu madi haya na kama walikuwa wametenda kosa ilikuwa wapelekwe mahakamani sio kuwarudisha kwao!but hii ndio Africa miaka kadhaa iliyopita nchini mwetu wageni wa nchi Fulani walituhumiwa kumlazimisha dada yetu afanye ngono na mbwa,walikamatwa wakawekwa pale oysterbay polisi station na kilichofuatwa tukaambiwa wanarudishwa kwao!sio kwenda kujibu kesi pale Kisutu.
[emoji2][emoji2]Duh! Yaani hivi hivi unarudishwa kwenu huko kwa kirusi cha Makorona, ndio changamoto za kuishi ugenini kwenye nchi ya watu, unatakiwa uwe mkimya bila mbwembwe zozote hata usitake utani utani na wenyeji wala usiwe mgomvi, maana mkizinguana tu, moja kwa moja unafurushwa.
Japo mimi nilipokua mlevi Bongo, nilikua na ukorofi fulani halafu full lafudhi ya kikwetu kwenye bar na makelele, tunazinguana na Wabongo kuhusu warembo, lakini nilijitahidi sikukumbana na hatari ya kuswekwa ndani ya kaladinga, maana yaani mapolisi wa Kiafrika wakikukamata, kwanza hata wanaweza wakachana vibali vyako yaani uvurugwe mpaka ukome ubishi.
Ndio maana tunachekwa sana nchi zetu hizi za dunia ya tatu,why DCI hakufanya uchunguzi wa kina kuhusu madi haya na kama walikuwa wametenda kosa ilikuwa wapelekwe mahakamani sio kuwarudisha kwao!but hii ndio Africa miaka kadhaa iliyopita nchini mwetu wageni wa nchi Fulani walituhumiwa kumlazimisha dada yetu afanye ngono na mbwa,walikamatwa wakawekwa pale oysterbay polisi station na kilichofuatwa tukaambiwa wanarudishwa kwao!sio kwenda kujibu kesi pale Kisutu.
Sorry bro alichomaanisha uyo jamaa ni kwamba walipopelekwa mahakamani hawakufungwa kutokana na kosa ilo kama unavyoona waafrika wenzetu wakikamatwa nchi za nje wanapelekwa mahakamani kwa kufungwa au kunyongwa ila sisi tunawarudisha kwao ndio hukumu yetuMbona walishawasilishwa mahakamani, mpo wazembe sana hata kusoma mnashindwa, kazi kubwatuka tu baada ya kusoma kichwa cha habari.
Ndio maana tunachekwa sana nchi zetu hizi za dunia ya tatu,why DCI hakufanya uchunguzi wa kina kuhusu madi haya na kama walikuwa wametenda kosa ilikuwa wapelekwe mahakamani sio kuwarudisha kwao!but hii ndio Africa miaka kadhaa iliyopita nchini mwetu wageni wa nchi Fulani walituhumiwa kumlazimisha dada yetu afanye ngono na mbwa,walikamatwa wakawekwa pale oysterbay polisi station na kilichofuatwa tukaambiwa wanarudishwa kwao!sio kwenda kujibu kesi pale Kisutu.
Duh! Yaani hivi hivi unarudishwa kwenu huko kwa kirusi cha Makorona, ndio changamoto za kuishi ugenini kwenye nchi ya watu, unatakiwa uwe mkimya bila mbwembwe zozote hata usitake utani utani na wenyeji wala usiwe mgomvi, maana mkizinguana tu, moja kwa moja unafurushwa.
Japo mimi nilipokua mlevi mlevi kwenye bar za Bongo, nilikua na ukorofi fulani halafu full lafudhi ya kikwetu kwenye bar na makelele, tunazinguana na Wabongo kuhusu warembo, lakini nilijitahidi sikukumbana na hatari ya kuswekwa ndani ya kaladinga, maana yaani mapolisi wa Kiafrika wakikukamata, kwanza hata wanaweza wakachana vibali vyako yaani uvurugwe mpaka ukome ubishi.
Ulitaka waandike Kolomije wakati watuhumiwa ni wazawa wa Uchina? Au ulitegemea DCI waibuke na comedy ya picha kutoka kwa CCTV CameraMAN kama IGP wenu na vilaza wake?Director of Criminal Investigation wa Nairobi ni kilaza hana mfano. Mahala pa kujaza COUNTY kajaza CHINA!
🤣🤣 wazee wa Tz VS Ke. Kwani mambo mengine ukiamua kuyapotezea utapungukiwa nini? Hata hivyo, umenikumbusha hii drama ambayo scriptwriter hakuwa professional, hata director pia aliokotwa mtaani na hivyo kufanya movie isinunuliwe...Ulitaka waandike Kolomije wakati watuhumiwa ni wazawa wa Uchina? Au ulitegemea DCI waibuke na comedy ya picha kutoka kwa CCTV CameraMAN kama IGP wenu na vilaza wake?[emoji38][emoji38][emoji38]
Sorry bro alichomaanisha uyo jamaa ni kwamba walipopelekwa mahakamani hawakufungwa kutokana na kosa ilo kama unavyoona waafrika wenzetu wakikamatwa nchi za nje wanapelekwa mahakamani kwa kufungwa au kunyongwa ila sisi tunawarudisha kwao ndio hukumu yetu
Boss sio ligi wala hamna cha kuamua kuyapoteza, ni KUMBUKUMBU tu. Maproducer wamelala sana na tunangoja kwa hamu chapter ya pili ya hiyo filamu ya kukata na shoka, IGP Sirro & The CCTV Cameraman Sn2.wazee wa Tz VS Ke. Kwani mambo mengine ukiamua kuyapotezea utapungukiwa nini? Hata hivyo, umenikumbusha hii drama ambayo scriptwriter hakuwa professional, hata director pia aliokotwa mtaani na hivyo kufanya movie isinunuliwe...
sijasema ni kosa always try to read to understand,kumrudisha mtu kwao baada ya kutuhumiwa ametenda kosa ni kutafsiri sharia vibaya,hawa wachina wametuhumiwa kutenda kosa ilitakiwa wapelekwe mahakamani ili kesi yao isikilizwe na hakimu aamue,kama wako huru au wametenda kosa(ndivyo ilivyotakiwa kufanywa)sasa wewe nenda China na utende kosa kama hili tuone kama China watakurudisha kabla ya kupanda kwenye mahakama zao.Sidhani kama kuna kosa kumfukuza mgeni asiyefaa kuishi kwako.
Umenifurahisha sana mkuu,ok tuwe makini nao kumchapa mtu hilo ni kosa kubwa mno kisheria maana umemdhalilisha kama binadamu,umedhalilisha utu wake,ndio maana hawa wangekuwa huku niliko Lingusenguse wangepanda mahakamani,mahakama ingeamua na baada ya hapo waliodhalilishwa kwa kuchapwa viboko wangefungua kesi ya madai dhidi ya watuhumiwa(hukumu ikitoka in their favour ,wachina hawa mali zao zingepata msukosoko mkubwa),hapa Lingusenguse hata ukimpiga mtoto wako kisheria umetenda kosa na unaweza kuhukumia kifungo jela.Mkuu hivi unajua adhabu ya kimahakama kwa kosa la kumchapa mtu viboko, mimi sijui ila naamini itakuwa ndogo sana pengine ni kulipa faini chini ya 100k, kwangu naona ni vema warudishwe kwao kwanza watakosa mapato pili corona inawasubiri, hiyo ni adhabu kubwa kuliko kumfunga mwezi mmoja kisha anarudi kufanya biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
sijasema ni kosa always try to read to understand,kumrudisha mtu kwao baada ya kutuhumiwa ametenda kosa ni kutafsiri sharia vibaya,hawa wachina wametuhumiwa kutenda kosa ilitakiwa wapelekwe mahakamani ili kesi yao isikilizwe na hakimu aamue,kama wako huru au wametenda kosa(ndivyo ilivyotakiwa kufanywa)sasa wewe nenda China na utende kosa kama hili tuone kama China watakurudisha kabla ya kupanda kwenye mahakama zao.
sometimes kujibia hoja kama hii nako ni kujidhalilisha,mtoa hoja ameelezea kuwa mahakama ilitoa kibali cha kuwashikilia watuhumiwa hao(wenzetu wanajielewa kuwa huwezi kumshikilia mtuhumiwa zaidi ya 14 days bila ya kibali cha mahakama)ili mtoa hoja hajatuambia kuwa hawa wachina walishafunguliwa mashitaka na mahakama kuamua hatima ya kesi hii,please usome tena huu uzi na mtoa hoja katuambia kuwa vile vile wachina hawa working permits zao zilikuwa sio halali,na walikuwa na visitors visa (ambazo haziruhusu kufanya kazi au biashara)sasa hili ni kosa kubwa ,hapa nilipo Lingusenguse tuhuma kama hii ni kubwa ,unapelekwa mahakamani kwa kuchapa watu viboko,then kwa kuwa na hati batili,makosa haya unakwenda jela na baada ya hapo systems inakupa hati ya kutoruhusiwa tena kuingia hapa na unarudishwa kwenu siku umemaliza kutumikia adhabu yako,jitahidi kusoma kwa kuelewa sio kuuliza maswali,next time mkuu.Mbona walishawasilishwa mahakamani, mpo wazembe sana hata kusoma mnashindwa, kazi kubwatuka tu baada ya kusoma kichwa cha habari.