joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
Sidhani kama una hata "idea" ya kuelewa kinachozunguzwa, ninakushauri ubaki kuwa mtazamaji unaweza kujifunza kitu kipya, dalili zote zinaonyesha huelewi mambo haya ya fedha na uchumi.Mbna Tanzania tumechapisha pesa mpya Mara kadhaa Hivi ilitusaidia kunyenyua uchumi?
Huo ni mtazamo wako hakuna wa kukupinga, ila kuna wenyewe mtazamo tofauti na wewe, wacha maisha yaendelee.Hawa opra news ni wa kupuuzwa siyo reliable source wana habari fake sana. Kwanza habari yenyewe haina hata maelezo.
Zilikua mbinu zinazofanikiwa ipasavyo zamani kutoa noti mpya Ili ufufue uchumi maana hii ilisaidia hata watu waliohodhi pesa ndani wapeleke bank kwa karne hii ya Sasa BADO hua naiona Kama mbinu dhaifu Sana na ufanisi wake Ni mdogo mno.Sidhani kama una hata "idea" ya kuelewa kinachozunguzwa, ninakushauri ubaki kuwa mtazamaji unaweza kujifunza kitu kipya, dalili zote zinaonyesha huelewi mambo haya ya fedha na uchumi
Tofautisha kati ya kubadilisha pesa na kuchapisha pesa, hapo ndio unajichanganya.Zilikua mbinu zinazofanikiwa ipasavyo zamani kutoa noti mpya Ili ufufue uchumi maana hii ilisaidia hata watu waliohodhi pesa ndani wapeleke bank kwa karne hii ya Sasa BADO hua naiona Kama mbinu dhaifu Sana na ufanisi wake Ni mdogo mno.
Hata kwa akili ya kuvuka barabara, lini chombo reliable kikaweka kichwa cha habari na picha ya gavana wa bank kikaishia hapo bila habari yenyewe? Hawa Opera news wameandika habari nyingi za uongo hata kuhusu Tanzania.Huo ni mtazamo wako hakuna wa kukupinga, ila kuna wenyewe mtazamo tofauti na wewe, wacha maisha yaendelee.
Ukinyamza hakuna atakeyejua uwezo wako wa kufikiria ni mkubwa kiasi gani. Kaka tulia unajidhalilisha bure. Wenzako wote wameweza kusoma habari nzima hapo imeandikwa kwa urefu na mapana.Hata kwa akili ya kuvuka barabara, lini chombo reliable kikaweka kichwa cha habari na picha ya gavana wa bank kikaishia hapo bila habari yenyewe? Hawa Opera news wameandika habari nyingi za uongo hata kuhusu Tanzania.
Unless PC yangu ina tatizo ila kila nikiifungua naambulia picha na kichwacha habari ngoja nirudi tena even though opera news bado ni wana fake news ila kuna muda hata shetanihutenda jema ngoja nikajaribu tena.Ukinyamza hakuna atakeyejua uwezo wako wa kufikiria ni mkubwa kiasi gani. Kaka tulia unajidhalilisha bure. Wenzako wote wameweza kusoma habari nzima hapo imeandikwa kwa urefu na mapana.
Watu wanakushangaa unaposema wametoa pia ya Governor pekee na headings, uwe unauliza ili watu wakusaidie kama umeshindwa kuiona habari yote badala ya kujifanya mjuaji.
Hongera sana kwa kuwa muungwana.Hatimaye imefunguka na nimeisoma it seems ni kweli, nafuta kauli ya awali nilikurupuka kama braza K
Hii kitu imegoma kabisa kufunguka toka janaWakati huo huo soma na hii:
Will Magufuli’s Covid-19 gamble pay off for Tanzania? - African Business Magazine
Unachapisha kisha unaziingiza miradi ya mabarabara, viwanda, etc, kisha unazitoa kwenye mzunguko, unabaki ja mabarabara na viwanda lukuki.🤑🤑🤑Mbna Tanzania tumechapisha pesa mpya Mara kadhaa Hivi ilitusaidia kunyenyua uchumi?
Mambo yamgekua rahisi hivo Mbna nchi nyingi zenye watawala wenda wazimu na madikteta zingefanya.Unachapisha kisha unaziingiza miradi ya mabarabara,viwanda ,etc,kisha unazitoa kwenye mzunguko,unabaki ja mabarabara na viwanda lukuki...[emoji857][emoji857][emoji857]