joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
- Thread starter
-
- #61
Wacha kuvuruga hii mada tafadhali, sisi tunazungumzia Central Bank, hujui kazi za Central Bank unachanganya na Commercial Banks hilo ndio tatizo lakoHAHAHA, kwa akili yako unafikiria ni lazima benki kuu iwe na cash? Kwa hivyo pia unafikiria benki ya kawaida ikikupa loan inakupa pesa ya deposits?
i) Treasury(GOK) inaweza kuchukua ama ikose kuchukua overdraft ndiyo maana wame andika "Keep off overdraft". Printing money ni technical term, ilhali ukweli ni kuwa hakuna pesa huchapishwa ni account ya GOK hapo benki kuu ndiyo balance hugeuzwa. Hiyo wakati GOK haikutaka kuchukua overdraft kwa sababu soko ilikuwa na pesa nyingi (Liquid market). Hapo ndiyo GOK iliamua kufata Front load bowing badala ya kuchukua overdraft kwa benki kuu.
ii) Mwanaume, yani una piga kelele hivi na hujui vile pesa hutengenezwa kuna kitu inaitwa "Fractional reserve banking", benki kuu na mabenki ya kawaida yote yanatumia huu mtindo kutoa loan.
iii) Benki kuu hufanya biashara kumbe hujui, wana lipwa na mabenki ya kawaida kushikilia 5% of deposits, na mabenki ya kawaida pia huenda kuchukua mkopo kwa benki kuu, serikali inapochukua overdraft pia inalipa interest kwa hiyo overdraft. Kama yenyu haifanyi hivi basi kweli mko na njia ndefu kusafiri kimasomo.
Haya hizi hapa links zingine zikufunze jinsi banking hufanyika na vile uchumi huwa managed.
Fractional Reserve Banking
How Banks Create Money | Macroeconomics
NB: Usijali leo niko na mda ya kukupeleka darasa, ujue jinsi uchumi huendeshwa, kwa vile naona Tanzania hmapati mafunzo kama haya.
Are you mentally sick?, hivi wewe una matatizo gani kichwani mwako?, wewe sio mzima wa akili kabisa. How can you dare to say Kenya has the lowest inflation rate in East Africa?, truth of the matter is, Kenya has the highest rate among Tanzania, Kenya, Rwanda and Uganda. Punguza kuropoka hovyo.i) Printing money is a technical term how many times do I have to say this!!! In reality no money is printed, this is GOK taking a loan from CBK to pay off some urgent commitments like interest payments on treasury bills.
ii) Yes you can if you know how to balance all the financial tools available, also kes 15 billion is not enough money to bring out inflationary pressure. Refer to modern money theory. Britain did it, America recently during Covid 19 crisis took out a $1 trillion overdraft from the federal reserve and put it into the economy to stimulate growth .
NB:Kenya has the lowest inflation rate in east africa at 4.4%, despite dumping over kes 400 billion into the market during this pandemic
Asante kwa kukubali kwambaNO!!NO!!NO!!NO!!NO!!. Overdraft is a finance term not commercial banking term, it is used anytime you need an urgent injection of cash more than what you have in your account. The moment you know that CBK is also a lending institution like normal banks you will understand(Tofauti ni mteja). Difference is CBK lends to GOK and Banks, while normal banks lend to the population.
i) Where is the account of treasury held at? CBK holds all tax revenues, dividend payouts e.t.c that are revenue to treasury in an account in CBK. GOK pays CBK for having an account in CBK , same to normal banks.
ii) Governments can borrow from their central banks from an emergency standby facility made available by the central banks. This is what is called an overdraft or in technical term "Printing money" because every loan forwarded by CBK to GOK is a new deposit i.e. New money, the same with normal banks which also "print money" by booking new loans.
Central Bank Definition
Inflation rate August 2020i) Printing money is a technical term how many times do I have to say this!!! In reality no money is printed, this is GOK taking a loan from CBK to pay off some urgent commitments like interest payments on treasury bills.
ii) Yes you can if you know how to balance all the financial tools available, also kes 15 billion is not enough money to bring out inflationary pressure. Refer to modern money theory. Britain did it, America recently during Covid 19 crisis took out a $1 trillion overdraft from the federal reserve and put it into the economy to stimulate growth .
NB:Kenya has the lowest inflation rate in east africa at 4.4%, despite dumping over kes 400 billion into the market during this pandemic
Looters wanazibaba na virobaDuh, kwani zimeenda wapi hizo hela na akiba?
Asante kwa kukubali kwamba
Overdraft from Central Bank = Printing Money
Sasa nitakueleza kwanini Overdraft from Central Bank is killing Economy, because what is happening is that, the Central Banks prints Money from abroad which is not part of the Economy like what IDD Amin used to do.
Akili nying huondoa maarifa nan kakudanganya benk kuu wanachapisha pesa benk kuu inapeleka tender kwa viwanda vya kutengeneza pesa na mara nying huwa ni CONFIDENTIAL hii bra bra wanaxotoa kwenye media ni kulipima soko na kutoa attention lkn nyuma ya paxia wana agenda zao
Serikali ‘yachapisha’ pesa mpya kufufua uchumi
NA FAUSTINE NGILA
SERIKALI ‘imechapisha’ fedha mpya za Sh15 bilioni katika kipindi cha siku saba kufikia Septemba 25, kulingana na takwimu kutoka Benki Kuu ya Kenya (CBK).
Serikali ilipokea Sh46 bilioni kama mkopo wa muda kutoka CBK ambazo ni ongezeko kutoka Sh31.3 bilioni wiki iliyotangulia.
Fedha hizo ndizo mkopo wa juu zaidi ambao serikali imechukua kutoka CBK kwa wiki moja, na ulijiri katika kipindi ambapo Hazina Kuu inashinikizwa kulipa riba.
Katika mpango wa aina hiyo, CBK kwa kawaida hutuma fedha kwa akaunti za serikali, mchakato ambao unaitwa ‘kuchapisha pesa’.
Lakini ikiwa pesa nyingi zimechapishwa, wananchi wanaweza kudai bidhaa nyingi sokoni, na iwapo kampuni zinaendelea kuwa na kiasi sawa cha bidhaa, basi zitalazimika kupandisha bei.
Hazina Kuu imekabiliwa na changamoto ya uhaba wa fedha kutokana na athari za virusi vya corona, na kulazimika kuomba pesa nyingi kutoka kwa soko la humu nchini kujairbu kuokoa uchumi.
Kufikia mwishoni mwa mwaka wa kifedha wa 2019/2020, serikali ilikuwa imeomba Sh47 bilioni.
Chanzo: Taifa Leo
========
MY TAKE: Hii ni hali ya hatari sana tutegee "inflation rate" kuongezeka na gharama za maisha kuwa juu sana. Kama hali isipotengemaa basi serikali itapoteza udhibiti wa uchumi wa nchi kitu kinachoweza kusababisha watu kuingia mabarabarani. Tuzidi kuwaombea majirani.
Mwanaume, huwa nakuambia soma unakataa, ukiitwa mjinga unacatch feelings.Are you mentally sick?, hivi wewe una matatizo gani kichwani mwako?, wewe sio mzima wa akili kabisa. How can you dare to say Kenya has the lowest inflation rate in East Africa?, truth of the matter is, Kenya has the highest rate among Tanzania, Kenya, Rwanda and Uganda. Punguza kuropoka hovyo.
kawaida unakuwanga kichwa malenge lakini hapa umechoma zaidi! wewe huwezi saidika karne hii....Wacha kuvuruga hii mada tafadhali, sisi tunazungumzia Central Bank, hujui kazi za Central Bank unachanganya na Commercial Banks hilo ndio tatizo lako
1)Central Bank haifanyi biashara kwahiyo haitoi mikopo wala kukusanya pesa kwa lengo la kuzalisha faida
2)5% ya pesa zinatozwa na Bank kuu toka kwa Wamiliki wa Banks, maduka ya kubadilisha pesa, na mashirika mengine yenye kufanya biashara ya fedha ni dhamana ili kama bank itafilisika wateja waweze kupata fidia, pesa hiyo hurudishwa pale Bank itakapofunga shughuli zake nchini.
3)Bank jukumu lake ni kuzisimamia hizo Bank na kutoa guarantee endapo zitahitaji kukopa toka nje ya nchi, kamwe Bank kuu haitoi mikopo ya aina yoyote ile kwasababu haina pesa za kufanya biashara.
Onyesha wapi Bank kuu ilishawahi kutoa mikopo au mitaji kwa Bank za Biashara. Inaonekana hujui kabisa kazi za Central Bank.
Thank you for proving my point on modern money theory. If you read the article debt is not a problem.Why these economists want broke governments to just print money
Thursday, October 01, 2020
Central Bank of Kenya Governor Patrick Njoroge displays new notes on June 3, 2019. Sila Kiplagat | Nation Media Group
By Tony Mwite
What you need to know:
Governments of sovereign nations can never run out of money. Yes, this notion is based on an economic model known as Modern Monetary Theory (MMT) that is fast gaining attention worldwide.
- Modern Monetary Theory suggests that Governments reliance on taxes for revenue is rather limiting leaving the Government with only debt options.
- In such a model taxes then start becoming a tool to regulate against inflation rather than one that is primarily the source of Governments revenue.
In fact, a book on the same, titled The Deficit Myth released recently, is now on the list of New York's best sellers. MMT solutions are gaining traction because they are not only disruptive but also promise to get the global economy through the coronavirus crisis.
The theory is hinged on the philosophy that governments have a monopoly over their own currency meaning in principle, the government can never run out of money.
Central Banks can implement a Structured Money Creation System (printing or electronic) as a source of revenue. Yes, the government can make money out of thin air and inject it into its budget. Now the theory does not suggest a willy-nilly approach, no, it suggests a framework based around a structured system that has guidelines and related checks and balances.
Additionally, MMT further argues that governments' reliance on taxes for revenue is rather limiting leaving it with only debt options. Government debt is a sore spot. In Kenya, for instance, we now have about Sh3 trillion in foreign debt and another Sh3 trillion in local debt. Taxes no longer meet the speed of development. In comes Modern Monetary Theory.
In money creation, the lens the government perceives budgets changes. The question of where to find money becomes the easiest question to answer. It now becomes what can we achieve, how do we achieve it, and so forth.
As with all models, there are risks and limitations, and so does MMT. There are two key restrictions namely, inflation and availability of resources.
Inflation
Excess money in an economy creates inflation but how much is too much? What if the Central Bank of Kenya (CBK) created Sh1 million ($10,000) every year. Will this cause hyperinflation? Maybe Sh100 million per year? Most will agree that figures under Sh100 million are inflationary averse but yet even this amount spread over 20 public and private children's homes could be a great boost.
More caregivers will be employed, more clothes will be purchased, more food will be bought, better sports and academic services will be offered. Therefore, rather than have a ceiling figure, we advise a project-by-project inflation rating.
We suggest that for each programme the government proposes, it must first undergo an inflation rating by the Central Bank of Kenya. For argument sake, say out of 10 points with 10 being extremely inflation attractive and thus a safety cap of seven points is put in place.
Proposals of projects that score seven and above are returned to be amended. This way we handle the inflation question from inception.
Availability of resources
Rather than financial limitations, MMT helps the government focus on the real limits of resource availability (human capital, raw material, climate, technical expertise, and so on).
For example, a government can desire to construct a mega airport. No problem. The money can always be created and so the question that arises is do we have local construction manpower in numbers? Do we have enough raw materials such as steel and concrete locally? Do we have spare manpower and machinery so as not to compete with other private sector projects and so on?
The new role of taxes
In such a model taxes then start becoming a tool to regulate inflation rather than one that is primarily the source of government revenue.
How does it regulate?
It works at the backend where in the event inflation numbers start to escalate the tax body levies higher taxes in that sub-sector which will reduce the amount of cash flow into the economy thus stemming inflation.
The tax money then is not returned back into the economy, instead, it's destroyed or donated as aid to foreign nations so as not to re-incur the rise in inflation these monies were warding off.
Kenya a donor nation, Hallelujah.
Foreign debt
Has the Sh3 trillion foreign debt caused hyperinflation? No. Therefore, the government could simply have printed the money rather than borrow seeing that there are no significant inflationary effects caused by monies coming from outside the economic cycles.
Our proposal
As a pilot programme we suggest the formation of a Revenue Replacement Grant Scheme as a key anti-corona stimulus programme for businesses of all levels. The grant can be processed digitally after businesses provide bank statements of their 2019 revenues.
The 2019 revenues can be approved and wired to them monthly for say two years. The scheme will be gradually phased off closer to the two-year mark and seeing it's a replacement plan we don't foresee inflation.
This means rather than retrenching, businesses can continue paying salaries and the economy will recover immediately. We need a new model for todays more pressing challenges and this is a viable candidate.
Mr Mwite is a director at Clark and Hampton Kenya and Out Of The Box Economists.
clarkandhampton@gmail.com
Why these economists want broke governments to just print money
Tanzania Inflation Rate | 1999-2020 Data | 2021-2022 Forecast | Calendar | HistoricalMwanaume, huwa nakuambia soma unakataa, ukiitwa mjinga unacatch feelings.
Inflation rate ya Kenya 4.2% latest ya september 2020, Ya Tanzania world bank estimate ni 4.8% kwa sababu hamtoi takwimu, ya mwisho ilitolewa June 2020, Uganda ni 4.5% hii september,Rwanda ni 6.9% hii september.
Unajua nimeona wewe ni kama napigia ng'ombe guitar.