comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Waziri wa Usalama wa ndani wa Kenya Mh Freddy Matiang amepiga marufuku wapinzani kuandamana kuhusu marudio ya uchaguzi katika miji tatu nchini Kenya, zuio hilo ni hatua ya kuokoa uchumi wa kenya.
Maandano yanaleta mdororo wa kiuchumi nchini Kenya kwa kuwa shughuli nyingi za kiuchumi husimama
Maandano yanaleta mdororo wa kiuchumi nchini Kenya kwa kuwa shughuli nyingi za kiuchumi husimama