Serikali ya Kenya yashindwa kulipa mishahara, Madaktari watishia kuanza mgomo

Hajielewi huyo[emoji23][emoji23]
Wajinga ninyi, kwa hiyo kwasababu Corona inalikumba Jimbo la California Trump hausiki kulaumiwa?, hayo mambo yenu ya utawala ni ndani ya nchi yenu, nje ya nchi hayana maana yoyote anayejulikana ni Uhuru na serikali yake.
 
Life is not fair
 
Carlifonia mi sijui inajiendeshaje, kwhyo usiniletee upuuzi wa vitu ambavyo hta havinihusu maishani..

Tumalizane kwnza na nairobi, lkn usionee haya kubadilisha mada
 
Uhuru wa habari Kenya upo juu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Si ndio manake unaona hayo mambo yote[emoji23][emoji23]
Kwn unafikiria ingelikua hakuna ungeliona kitu kweli..yangekua yale yale ukifia shauri yako
 
Carlifonia mi sijui inajiendeshaje, kwhyo usiniletee upuuzi wa vitu ambavyo hta havinihusu maishani..

Tumalizane kwnza na nairobi, lkn usionee haya kubadilisha mada
Sisi tunajua Kenya tu, ushuzi wa Nairobi, Turkana au Kibera huo hautuhusu, yote hiyo ni Kenya chini ya Uhuruto na Jubilee, yaani (Failed state)
 
Si ndio manake unaona hayo mambo yote[emoji23][emoji23]
Kwn unafikiria ingelikua hakuna ungeliona kitu kweli..yangekua yale yale ukifia shauri yako
Tuone au tusione haizuii madaktari na wakenya kufa kwa wingi, muhimu ni kuzuia vifo na maambukizi, sio kuacha kushughulika na kupunguza vifo na maambukizi badala yake mkaweka umuhimu katika kutanga vifo na maambukizi na mkajisifia ktk hilo, mkiendelea na ujinga huu kamwe hamtoweza kutoka katika kundi la "Failed states"
 
Ingekuwa Tanzania citizen TV ingefungiwa Kwa uchochezi na uhujumu uchumi
Tanzania ni middle income country, matatizo ya kulipana mishahara tushayasahu tangu utawala wa Ben Mkapa ulipoingia madarakani
 
Sisi tunajua Kenya tu, ushuzi wa Nairobi, Turkana au Kibera huo hautuhusu, yote hiyo ni Kenya chini ya Uhuruto na Jubilee, yaani (Failed state)
Tatizo pachiko lako haliendani na ulichokiandila[emoji23][emoji23]..
Kwhyo tunaweza sema hujielewi au ni kujitoa ufahamu tu ndio umeamua
 
Tanzania ni middle income country, matatizo ya kulipana mishahara tushayasahu tangu utawala wa Ben Mkapa ulipoingia madarakani
Miaka kumi unafanya kazi huongezewi hata buku kw payslip..
Only in tz
 
Hivi wabunge wa Kenya si walikuwa wana katwa % kwenda kwenye kusaidia C-19. Iweje sasa Madr wanashindwa kulipwa mishahara???
 
Wajinga ninyi, kwa hiyo kwasababu Corona inalikumba Jimbo la California Trump hausiki kulaumiwa?, hayo mambo yenu ya utawala ni ndani ya nchi yenu, nje ya nchi hayana maana yoyote anayejulikana ni Uhuru na serikali yake.
Tanzania ni middle income country, matatizo ya kulipana mishahara tushayasahu tangu utawala wa Ben Mkapa ulipoingia madarakani
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Na usisahau mafao ya wazee waliostaafu bado kulipwa miaka 3 Sasa na pia Wakulima wa Koroshow πŸ˜‰
Wachumi mnisaidie: Fedha iliyookolewa kwa kutoongeza mishahara , vyeo na marupurupu watumishi kwa miaka 5 inaweza kulipia miradi mikubwa mingapi?
 
mibongolala hata haifahamu madaktari wanalipwa na serikali za kaunti si serikali ya kitafa kawaida kwao ni umbea tu bila kujifahamisha kwanza
Serikali za kaunti zinawalips hela kwa pesa toka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…