Fedha za serikali za kaunti zipo, tatizo lipo pale seneti maseneta wameshindwa kukubaliana ni mfumo upi utatumika kuzigawia kaunti fedha kwahivyo kuchelewesha mgao huo..ata hivyo serikali za kaunti zimekua zikijitosheleza kwa makusanyo ya ndani ndo maana hujaskia madaktari wote nchini wanatishia kugoma. Nairobi haina madaktari 300 pekeeSerikali za kaunti zinawalips hela kwa pesa toka wapi?
Fedha zote zinatolewa kutoka central treasury, Hakuna County yenye uwezo wa kugharamia shughuli kama hiyo sababu hata serikali yenu inategemea misaada kujiendeshaFedha za serikali za kaunti zipo, tatizo lipo pale seneti maseneta wameshindwa kukubaliana ni mfumo upi utatumika kuzigawia kaunti fedha kwahivyo kuchelewesha mgao huo..ata hivyo serikali za kaunti zimekua zikijitosheleza kwa makusanyo ya ndani ndo maana hujaskia madaktari wote nchini wanatishia kugoma. Nairobi haina madaktari 300 pekee
Hii financial year imepita miezi tatu tyari kaunti zimekua zikijiendesha vipi??unapenda kuropokwa.kaunti ya Nairobi ilikusanya 8.5b(tsh 160b) na kupokea chini ya 15b(tsh 300b) kutoka kwa treasury 2019/20 financial yearFedha zote zinatolewa kutoka central treasury, Hakuna County yenye uwezo wa kugharamia shughuli kama hiyo sababu hata serikali yenu inategemea misaada kujiendesha
Daaaa Ila Kenya viongozi wake hapanaWamgomee nani wakati mashule ni hadi mwakani, wenye shule private wenyewe wanageuza shule zao mabanda ya kuku, hao walimu watakuwa na njaa sana, hawawezi andamana.
Sikiliza wewe, wacha kuropoka. Kinachohitajika ni "smooth running of the government activities", hii tabia ya kutoa sababu za kuhalalisha matatizo yenu kila yanapotokea ndio sababu nchi yenu inawekwa ktk kundi la failed state.Hii financial year imepita miezi tatu tyari kaunti zimekua zikijiendesha vipi??unapenda kuropokwa.kaunti ya Nairobi ilikusanya 8.5b(tsh 160b) na kupokea chini ya 15b(tsh 300b) kutoka kwa treasury 2019/20 financial year
Bado unaendelea kubisha?Hii financial year imepita miezi tatu tyari kaunti zimekua zikijiendesha vipi??unapenda kuropokwa.kaunti ya Nairobi ilikusanya 8.5b(tsh 160b) na kupokea chini ya 15b(tsh 300b) kutoka kwa treasury 2019/20 financial year