Serikali ya Kenya yatishia kuvifutia leseni vituo vya TV vilivyorusha maandamano ya Azimio

Kenya bwana,hadi KBC ndani ya nyumba. Safi sana!
 
Udikteta umeanza Sasa
 
Udikteta umeanza Sasa
Kenya udikteta ulianza mara tu baada ya uhuru wao, inategemea na Kila mtu ni lini ndio alifahamu hivyo. Kenya haijawahi kuwa na demokrasia, wao hupiga makelele ya kujisifia, watanzania wengi hukumbwa na huo mkumbo wa makelele nao wakaanza kusifia Kenya. Hongera umeanza kuujua ukweli, hujachelewa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Rutto amekengeuka na kwa Kenya hatatoboa! Huwajui wakenya wewe! Wanajipa uhuru wenyewe, siyo makondoo ya Tanzania

Subiria kichapo watakachochezea ndiyo utajua maana ya dora ni nini katika nchi za Afrika.
 

Siyo Tanzania tu, duniani kote mtu anayejiapisha wakati tayri kuna nchi huo ni uhaini. Hakustahili kuwepo mpaka wakati huu anaendeleza fujo.
 
Kwa kuvifungia nadhan itaamsha siasa kali zaidi Kenya, Ruto huenda ana wakati mgumu zaidi
 
Kwani katiba mpya inaseamje?
Katiba mpya inasema uhuru wa habari uheshimiwe,
pia katiba mpya inasema kuwa mahakama zikiwa huru zinauwezo wa kulinda haki zinazo kiukwa na serikali dhidi ya vyombo vya habari kwa namna kama hii inavyosomeka kwenye maamuzi haya ;


NB:
Hebu tujifunze kuweka akiba ya maneno ili siku nyingine uepuke kuaibika namna hii tena ukweni.
 
Vipi hadi Leo hakuna uchunguzi Wala kesi iliyofunguliwa mauji ya Msando, Juma na watu zaidi ya 1200 waliouliwa na Uhuru Kenyatta na Willium Rutto 2008?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Waulize CHADEMA wanaotusumbua na katiba mpya huku Tanzania. Lissu na Lemma Kila siku wanatuambia Kenya Kuna uhuru wa vyombo vya habari, bila shaka watakujibu hili swali lako.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Una akili na ufahamu duni unaojaa kwenye kizibo cha kisoda tu wewe joto la jiwe

Kusema au kuandika kuwa "tutachukulia hatua broadcasters waliorusha maandamano ya protesters" ni jambo moja lakini kutenda wanachosema ni kitu kingine na kigumu kweli Kwa mujibu wa katiba ya Kenya..!

Wanaweza kutangaza kuwa "tumewafungia" lakini waliofungiwa wakienda mahakamani, mahakama huru ya Kenya itaibatilisha amri hiyo mara moja...

Hii ni tofauti na hapa kwetu ambapo Nape Moses Nnauye au TCRA akipata amri ya Rais kuwa "fungia TVs zote" basi hakuna mahakama itafanya lolote hata kama ni kinyume cha sheria na katiba...

Hii ndiyo tofauti ya "Kenya ya Katiba mpya" na "Tanzania na Katiba ya Urais wa kifalme.."
 
Mhimili wa wao wa mahakama uko huru vizuri sana.

Nawaaminia sana Wakenya.
 
Sidhani Kama akili yako unaweza kujadiliana na Mimi, uwezo wako wa akili ni mdogo sana, wewe zaidi ya ujinga unaojazwa na wakina Mbowe na Lissu, wewe wanakuburiza Kama nyumbu hujitambui.

1)Mahakama ya Kenya ilitoa amri ya Miguna Miguna kurudishiwa passport yake mara Moja na kuruhusiwa kurudi nyumbani, lakini serikali ya Kenya ilikataa kutimiza amri ya mahakama.

2)Baada ya machafuko ya 2008, hakuna mtu yeyote aliyeruhusiwa kuwashitaki watu waliowafanyia unyama mkubwa na kuwanyang'anya Mali zao, Hadi Leo hakuna haki yoyote iliyotolewa na mahakama za Kenya pamoja na Kesi nyingi kufunguliwa mahakamani.

3)Zitto Kabwe alienda mahakamani kupinga kitendo Cha Magufuli kutokumchagua Tena Prof.Asad kuwa CAG, hatimae mahakama ilimpa Zitto ushindi.

4)Mashitaka yamefunguliwa mahakamani kuchunguza vifo vya Akwilina, kupotea kwa Azory, Sanane na kupigwa risasi kwa Lissu, Kesi kuanza kusikilizwa hivi karibuni

Punguza ushabiki, Wacha kushikiwa akili na watu wajinga.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…