joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hukumbuki walivyokua wakichafua serikali ya Tanzania wakati madiwani wengi na viongozi wa upinzani walipokua wakirudi CCM?, Hukumbuki wakenya jinsi walivyokua wakiunga mkono madai ya CHADEMA kwamba kura ziliibiwa? Sasa ni muda muafaka wa kulipa madeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu ndo tunaitaga umbea sasa! Mkuu yakwao tuwaachie wenyewe.
Kwa hili hapa nakupinga hadharani, CCM ilikuwa inanunua wapinzani kwa minada ya hadhara. Wengi waliahidiwa kupewa vyeo ndani ya Serikali na kweli walipewa. Akina Katambi, Nassari, Molel (a.k.a Dr.Shika) and com.Mkuu, hukumbuki walivyokua wakichafua serikali ya Tanzania wakati madiwani wengi na viongozi wa upinzani walipokua wakirudi CCM?, Hukumbuki wakenya jinsi walivyokua wakiunga mkono madai ya CHADEMA kwamba kura ziliiviwa? Sasa ni muda muafaka wa kulipa madeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Kenya ni hivyo hivyo, tena shutuma zimetolewa na naibu rais, anajua kila linalofanywa na serikali, huu ni muda muafaka wa kulipa madeni, waambie watulie dawa iwaingie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hili hapa nakupinga hadharani, CCM ilikuwa inanunua wapinzani kwa minada ya hadhara. Wengi waliahidiwa kupewa vyeo ndani ya Serikali na kweli walipewa. Akina Katambi, Nassari, Molel (a.k.a Dr.Shika) and com.
Kuhusu wizi katika uchaguzi uliopita hili liko wazi ni kama kulikuwa hakuna uchaguzi. Humu jukwaani kuna uzi wa shuhuda za watu kibao waliokuwa wasimamizi wa uchaguzi na yale walioyaona huko.
Kuhusu kusimama uchaguzi, Tanzania ina cha kujifunza kutoka Kenya.
Ninyi mlivyokua mnasapoti Tundu Lissu na Chadema kwa kusema kwamba wapinzani walinunuliwa na kwamba kura ziliibiwa hamkumbuki?[emoji23][emoji23][emoji23].Naona unamsapoti huyu mtu.