Serkali hii itahukumiwa na wananchi kiutendaji si kwa sababu Magufuli alifanya vibaya au vizuri!
Magufuli tayari ni mfu hana cha kujitetea hata tutukane vipi yeye kashatenda yake mabaya au mazuri shauri yake na Mungu wake!
Kujificha kwenye kivuli cha Magufuli kuwa alikuwa mbaguzi ni kwa wale ambao tayari walikuwa na chuki za kidini au kikabila!
Magufuli huyu huyu alimuomba mfalme wa Morocco ajenge msikiti mkubwa na ikatendeka hivo! Pia pale Dodoma karibu na Chamwino Magufuli alijenga msikiti mkubwa baada ya kuchangisha watu kanisani kanisani!
Bahati nzuri moja wa wanausalama wake alikuwa Muislam pamoja na mpiga picha Michuzi ambaye alimsihi sana aende hija huku akiwa tayari hata kumchangia!
Kwa upande wa ukabila pia ni mtazamo tu mfano mdogo kwa hali ilivo sasa vyuoni na makazini wasukuma ndo wanauwezekano wa kuwakuta wengi zaidi kwenye maofisi.
Unaweza kukuta ofisi moja uko na wafanyakazi 50 wasukuma wakawa 7 na makabila mengine wakawa 43 kwa hiyo hapo usitegemee kuna wamakonde wengi kuliko Wasukuma na kadri miaka inavyoenda hali itaendelea kuwa hivo maana wao wako mikoa mitano!
Rais Magufuli anaweza kuwa na mapungufu mengi kama mimi na wewe tulivo lakini huyu huyu Magufuli kujenga hospital za kanda wilaya kila kona ya nchi!
Magufuli pia kwenye ujenzi kaanzisha ujenzi wa daraja la mto wami ambalo lilikiw kero kwa maiaka na miaka kwa wasafiri wa kanda ya Kaskazini!
USHAURI: Kwa wale wanaotupa madongo kila wakihotubia hatawasaidia kitu! Kitu pekee ambacho wanaweza kufanya ni kuwa watetezi wa wananchi huku mtaani lakini kwa kubwabwaja wakihisi wanamkomoa Magufuli haitawasaidia!
Serkali hii imeshindwa hata kutoa kauli dhabiti kwa wafanyabiashara jinsi gani wafanye ili kudhibiti mfumuko wa bei badala yake inafanya inachokiweza kutukana Magufuli ambaye hata hawezi kuwajibu!
Fanyeni kazi wananchi wa Tanzania ya leo sio wajinga kama nyeupe au nyeusi wanajua!