Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 640
- 1,141
Ni mwezi, miezi na mwaka sasa watendaji wa umma wameamua kuwa sikio la kufa.
Mnamo mwezi ya saba mwaka 2024 mh waziri alitembelea kinyerezi kuondoa kero ya maji iliyotesa wananchi. Aliiweka chini ya uangalizi wa wizara, cha ajabu mwaka unatimia kero ikiandama wananchi wa saranga na kinyerezi.
Hatujui ni wakinamama wangapi wamebakwa, bado haijafahamika watoto wa kike wangapi wamelawitiwa na kunajisiwa. Mgonjwa kiasi gani yamesambaa kutokana na unyama wa watu wanatega njiani kuwavizia wasichana, wamama na watoto wanaodombelea maji.
Hii adha imeota mizizi. Mh Rais amepambana, wananchi wamepaza sauti hadi hivi sasa hakuna dalili ya kupata maji.
Watendaji wa Dawasa wamekuwa wakitoa ahadi hewa kila uchao hakuna utekelezaji wa upatikanaji. Idara hii inapofungua maji haijali. Inatoa kwa kufungua maji kama sadakalawe. Haijali nani amechota, wangapi hawajapata na kutatua kasoro za mtandao wa maji.
Haijalishi nani anauza maji, lakini imekuwa kero unaona magari yakiuza maji huku vilio vya kukosa vijisambaa.
Sio mvua si jua maji hatatoki mabombani. Kibaya zaidi dawasa kinyerezi haijali inapata bili za maji ama laa, wao serikali inapata haipati who hawajali.
Imefika mwisho sasa mamlaka za serikali zifike zione na zione ukiritimba huu ilani ilikuwa waz kumtua mama ndoo kichwani lkn sssa hawa viumbe wa mungu wamekanyaga bila kujali