Foleni ya Mbagala Rangi 3 ni kero kubwa sana kwa watu jaji wa barabara ya Kilwa Road.
Sababu za kuleta foleni zinajulikana kuwa ni daladala.
Tafadhali uongozi wa Mkoa tafuteni suluhisho la tatizo hili.
Napendekeza itafutwe njia mbadala kama ilivyofanya zamani kwa daladala zinazotumia barabara ya Uhuru pale Ilala Boma.