Butiku aliyetusaliti? No way!Serikali ya mpito ya mwaka mmoja ni muhimu TZ. Jeshi litangaze kwamba hakuna tena serikali ya Samia na badala yake kuundwe serikali ya mpito kutoka kwa wadau wazalendo. Lengo ni kupata katiba ambayo ndiyo itatumika team napendekeza hawa
1. Dr Slaa
2. Warioba au Butiku
3. Anna Makinda
4. IGP mstaafu Mwema
5. Dr Tibaijuka
6. Mzanziba 1
7. Mzanzibari 2
8. Mkuu wa jeshi mstaafu
Anna Makinda ana uzalendo gani mwanamtandao