Dk Barack Hussein Obama, Sir.
"Obama anaipenda Afrika, ni bara alilozaliwa baba yake mzazi, Dk Barack Hussein Obama, Sir. Baba yake alikufa katika ajali ya gari Nairobi, ni baada ya kuandamwa na mfumo wa Serikali ya Mzee Jommo Kenyatta, kwa vile tu, babayake Obama alikuwa anafikiri tofauti na watawala.
Baba yake Obama alikuwa rafiki wakaribu sana wa Tom Mboya aliyeuawa katika mazingira ya kutatanisha. Inaaminika, aliuawa kwa vile alifikiri tofauti na watawala, baba yake Obama inadaiwa alikuwa ana siri juu ya kifo cha Mboya. Obama anazijua vizuri siasa za Afrika."
Source: MCL