Pre GE2025 Serikali ya rais Samia tulionayo ni sikivu inasikiliza kero za walimu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba
Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Same Kilimanjaro Yenye Lengo La Kusikiliza Kero Na Changamoto Za Walimu

Soma Pia: Makamu wa Rais CWT: Kero za walimu hazimalizwi kwa maandamano na mabango

Kliniki hiyo inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi, Tamisemi na tume ya utumishi wa walimu nchini

Hadi sasa kliniki hiyo imetembea mikoa 23

Hii clinic ikifanyiwa kazi matokeo yake yanaweza kuwa turufu sana kwa Rais Samia

Madaraja kuna mwachano mkubwa sana kati ya halmashauri hata halmashauri
 
Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba
Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Same Kilimanjaro Yenye Lengo La Kusikiliza Kero Na Changamoto Za Walimu

Soma Pia: Makamu wa Rais CWT: Kero za walimu hazimalizwi kwa maandamano na mabango

Kliniki hiyo inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi, Tamisemi na tume ya utumishi wa walimu nchini

Hadi sasa kliniki hiyo imetembea mikoa 23

Suleiman Matthew Ikomba ni CHAWA +
 
Hizi sijui Clinic ya Samia, Samia Doctors, Samia Legel Aid ni kushindwa kwa idara za serikali katika kutimiza majukumu yao ya kila siku.

Yale aliyowahi kuyasema Prof. M. Assad na Simbachawene kuhusu asilimia kubwa ya watumishi wa serikali kutokuwa na uwezo + kutotimiza majukumu yao yanadhihirishwa kwa hizi "Samia clinics".
 
Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba
Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Same Kilimanjaro Yenye Lengo La Kusikiliza Kero Na Changamoto Za Walimu

Soma Pia: Makamu wa Rais CWT: Kero za walimu hazimalizwi kwa maandamano na mabango

Kliniki hiyo inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi, Tamisemi na tume ya utumishi wa walimu nchini

Hadi sasa kliniki hiyo imetembea mikoa 23

Hamna kitu hapo halafu huyo ikomba ni tai anawahadaa tu walimu na clinic yake.
 
Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba
Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Same Kilimanjaro Yenye Lengo La Kusikiliza Kero Na Changamoto Za Walimu

Soma Pia: Makamu wa Rais CWT: Kero za walimu hazimalizwi kwa maandamano na mabango

Kliniki hiyo inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi, Tamisemi na tume ya utumishi wa walimu nchini

Hadi sasa kliniki hiyo imetembea mikoa 23

Jamani huu ni uharibifu wa muda na pesa, kwani maafisa utumishi wana KAZI ipi sasa huko kwenye halmashauri ? Serikali itoe tu agizo hayo yatimizwe huko kwenye halmashauri na watoe mrejesho wizarani kila mwezi.
 
Back
Top Bottom