Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Suleiman Matthew Ikomba ni CHAWA +Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba
Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Same Kilimanjaro Yenye Lengo La Kusikiliza Kero Na Changamoto Za Walimu
Soma Pia: Makamu wa Rais CWT: Kero za walimu hazimalizwi kwa maandamano na mabango
Kliniki hiyo inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi, Tamisemi na tume ya utumishi wa walimu nchini
Hadi sasa kliniki hiyo imetembea mikoa 23
Hamna kitu hapo halafu huyo ikomba ni tai anawahadaa tu walimu na clinic yake.Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba
Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Same Kilimanjaro Yenye Lengo La Kusikiliza Kero Na Changamoto Za Walimu
Soma Pia: Makamu wa Rais CWT: Kero za walimu hazimalizwi kwa maandamano na mabango
Kliniki hiyo inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi, Tamisemi na tume ya utumishi wa walimu nchini
Hadi sasa kliniki hiyo imetembea mikoa 23
Jamani huu ni uharibifu wa muda na pesa, kwani maafisa utumishi wana KAZI ipi sasa huko kwenye halmashauri ? Serikali itoe tu agizo hayo yatimizwe huko kwenye halmashauri na watoe mrejesho wizarani kila mwezi.Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba