Serikali ya Samia imeongoza kwa kufungulia watu ķesi za uhaini na ugaidi tangu nchi kupata Uhuru

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Mama anaongoza kwa sasa kwa watawala wa chama chake , anaongoza kuwafungulia watu hasa vijana kesi za uhaini na ugaidi. Je hii inatafsiri gani ?
 
Mama anaongoza kwa sasa kwa watawala wa chama chake , anaongoza kuwafungulia watu hasa vijana kesi za uhaini na ugaidi. Je hii inatafsiri gani ?
Ila bado hawezi kuitwa dictator kama alivyoitwa jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…