Serikali ya Shujaa Magufuli ni tofauti na hii ya Rais wa nchi Jirani. Tayari wanalia na kupaa bei ya Dizeli

Serikali ya Shujaa Magufuli ni tofauti na hii ya Rais wa nchi Jirani. Tayari wanalia na kupaa bei ya Dizeli

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wengi wanaamini Utawala wa nchi Jirani utakuwa kama ule wa Mwamba wa East Africa Shujaa Magufuli lakini siyo.

Serikali ya Wanyonge ya Shujaa Magufuli ni tofauti kabisa na hii bottom up ya Dr William.

Naangazia hapa Citizen tv majirani kutoka UDA wanalalamikia Bei ya Petrol na Diesel Kupanda ghafla.

Shujaa atabakia kuwa the only!
 
Back
Top Bottom