Serikali mkoani Singida, imeonya wafanyabiashara watakaopandisha bei za vyakula kuelekea mfungo wa Ramadhani, kwa Waislamu na Kwaresma kwa Wakristo, huku ikisema haitavumilia hatua yoyote ya kujinufaisha kipindi hicho, kwa gharama kubwa ya wananchi.
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 1, 2025, ofisini kwake, amesema Serikali inataka kuona bei za bidhaa za chakula zinaendelea kubaki katika viwango vya kawaida, na kuonya kwamba, yeyote atakayekaidi, atakabiliwa na mkono wa sheria.

Kwaresma wameisingizia tu kisa imekutana na mfungo wa ramadhani. Kikawaida, wakristu hatulalamikiagi kupanda kwa bei ya vyakula wakati wa kwaresma kama ilivyo kwa waislamu wakati wa Ramadhani.