Serikali ya Somalia yatangaza rasmi kwamba KDF ni adui wa Somalia

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Hili sio jambo la kupuuza, uhusiano kati ya Serikali ya Somalia inayoungwa mkono na Jumuiya ya kimataifa, AU na Ethiopia imetangaza rasmi kupitia Waziri wake kwamba KDF ni adui wa Somalia.

Hii ni hatari sana kwa usalama wa Kenya ambao tayari ni mbaya sana, hasa hasa baada ya KDF kujipeleka Somalia kichwa kichwa kuisadia serikali hiyo hiyo ya Somalia ambayo Leo inawaona KDF kuwa ni adui yao.
 
by the time we are done with Somalia they will be speaking Swahili
Haya ni maumivu ya Rais Sheikh Madobe kushinda uchaguzi. Serikali dhaifu na rais wao Farmaajo kule Villa Somaaliya, Mogadishu, walidhani kwamba Kenya kumuunga mkono Madobe ilikuwa ni mzaha. Mipango ya Kenya kuhusu taifa la Jubbaland imetimia. Kesho utasikia kwamba Rais Madobe ametoa taarifa ya kukanusha haya madai ya Farmaajo na serikali yake. Hamna haja ya Kenya kujibu wala kushughulika na hivi vilio vyao. Hapa tunawaacha tu wakate viuno kwa mziki wetu kama vikaragosi.
 
Some of these Somalis from Mogadishu are very emotional, most of them have no mental image of what a functioning govt can do to push its interests... they think we will use bullets, ha ha ha, They should remember how the ICC situation in Kenya was solved. By the time the cases were dismissed the whole world was against ICC...these days nobody even talks about ICC.
 
Hahaa! [emoji1] Farmaajo is translucent, just like a salamander. His antics remind me of this meme.
He is really doing himself, over and over. [emoji38]
 
Subiri Al Shabaab waanze kuripua visima vya mafuta kule Turkana hawa nyang'au akili itawakaa vizuri. Adui muombee njaa.
 
Wakenya Mnataka vita na somalia
Mtaweza?

Ova
 
Shabab utamshinda vipi kama utamruhusu kupiga simu na kumruhusu
kupanga mashambulizi? Wacha waendelee kulialia tu.
 
Tayari tunapigana nao na tumeshawakalisha chini. Wao ndio wanapiga mayowe, sio sisi.
Tatizo lenu Kenya hamjui mlitendalo, mlikwenda Somalia bila mipango ya kueleweka, matokeo yake Kenya imeingia katika orodha za nchi zenye ugaidi duniani, Kenya inaendelea kulipa gharama kubwa kutokana na uamuzi ule wa hovyo.

Sasa mnajiingiza katika uhasama na Somalia, moja kwa moja mtakua mumeifanya Ethiopia ni adui yenu, je hiyo LAPSET yenu ambayo hata hivyo ilishajifia zamani itakuaje?, itabaki kuwa LAPST.

Muhimu sio kushindwa au kushindwa, ni lazima mjifunze kuishi kwa amani na majirani zenu. Sasa hivi Somalia na Ethiopia ni maadui zenu, South Sudan kuna mgogoro wa Ilemi triangle unatokota, Uganda kuna Migingo mnagombana. Mtaishije kwa amani kama mnagombana na majirani wote?
 
Serikali ya Somalia na sio ile ya Jubaland(Madobe) ambayo ni buffer zone...unatarajia Vita Ila hutaiona...afu vipi unajisahaulisha ATCL imekamatwa juu ya Madeni kwa mabwana zenu South Africa.😭😭😭
 
Hata Mimi nashangaa Sana ...canis lupus
 
Walifikiri wanaeza kujaribu kuchukia maritime zone yetu bila consiquenses , we also know how to play
 
We are also training there police and their doctors, nurses, civil servants , building roads etc


Now because you have been training them, they know you very well, they are going to use tactics against Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…