SERIKALI ya TANZANIA imeridhia kusafisha makinikia ya Congo DRC NCHINI

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
17,214
Reaction score
15,853
baada ya serikali ya kongo kuridhika na udhibiti wa rasilimali za nchi yetu hususan madini. Wameomba makinikia yao kuja kusafishwa nchini.
katika mazungumzo yao, mawaziri hao wamekubaliana kusafisha makinikia ya Congo hapa nchini. akifafanua, waziri wa madini wa Congo, amesema wana imani na Tanzania na hivyo wanaona maslahi yao kama nchi yatakuwa salama.
 
Mtambo huo unatafutiwa mwekezaji ndio wafanye.. Na hii sio suala la leo ama kesho ni la mda kidogo..so assurance ya uchakataji ni mpaka mwekezaji apatikane..
 
Mtambo huo unatafutiwa mwekezaji ndio wafanye.. Na hii sio suala la leo ama kesho ni la mda kidogo..So assurance ya uchakataji ni mpaka mwekezaji apatikane..
 
Muwekezaji asicheleweshwe kwa sababu zozote, hiyo ni fursa kubwa sana ya uchumi, na nchi zote zinazozalisha madini Africa lazima zisafishe madini yake Tz, wajenge kiwanda Geita maana Congo wana Cobalt kama yote
 
Mtambo huo unatafutiwa mwekezaji ndio wafanye.. Na hii sio suala la leo ama kesho ni la mda kidogo..So assurance ya uchakataji ni mpaka mwekezaji apatikane..

Teh teh teh tihiii
wawekezaji watakuja tu, hiyo potential ya kongo siyo mchezo. haiishi leo wala kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…