Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
suffocate - hali ya kuteseka
Kwa sisi ambao huwa tunamulika masuala ya kiuchumi na ya kiserikali, sijashangazwa kabisa na na ujio wa tozo tunazozipigia kelele.
Serikali ya Tanzania ipo kwenye hali ya kuteseka.
Kumbuka Rais Samia aliahidi kuongeza mishahara kwa watumishi kwa asilimia 23 ila kwa sasa tunaona yanayojiri, ni kama vile baada ya kutangaza kuongeza mshahara, kuna wataalamu wakamuambia chungu cha pesa ni kitupu..
Tumeashuhudia pia hadithi za Tanzania kupata mikopo mingi mingi ndani ya miezi 12 iliyopita..
Pia sakata la mafuta kuendelea kuwa bei juu wakati ni miezi miwili mafuta yameshuka bei kwenye soko la dunia.
Ukijumlisha na hili suala la tozo mpaka kwenye miamala ya kibenki, lazima utafikia kwenye conclusion moja tu kwamba, serikali ipo kwenye stress ya kutafuta pesa... inawezekana kabisa chungu ni hakina pesa...
Lakini kuna jambo moja serikali huwa wanalipuuzia na ni jambo la umuhimu sana.. serikali wanahangaika sana kukusanya pesa kwa kila hali, lakini mbona hamna initiative yoyote ya kupunguza matumizi yasiyo ya lazima?
Huyu huyu Mwigulu anasema hizi tozo ni uzalendo, lakini mbona wao wazalendo kila siku wanashindana kununua new series za Ma VX... ?? Ina maana uzalendo wao upo wapi kutembelea magari ya milioni 400 wakati nchi ina suffocate??
Mi nadhani kama hii mentality ya watunga sera wa Tanzania, haitobadilika, Tanzania itaendelea kuukimbiza upepo wa maendeleo kwa mda mrefu sana...
Maana yake ni kwamba viongozi walioko madarakani wameshindwa kuwa na maamuzi yenye tija ambayo impact yake ndo tunaishuhudia... Serikali ya Tanzania imewekeza kwenye project nyingi sana ambazo zimekula pesa nyingi sana na ndo hizi tunaanza kuzilipa kwenye tozo..
Angalia mpaka sasa bado hakuna taarifa ya ufanisi wa hizi project zote ambazo zimekula ma trillioni ya pesa
Malizia na project za kifisadi nyingine nyingi, yaani hamna kati ya hizo project ina matokeo yoyote ya kueleweka angali nchi imewekeza ma trillioni ya kutosha..
Matokeo yake ma mikopo yamekuwa ni mengi na ndo sahivi wanyonge wanaanza kushikwa mashati kwenye vitozo ili kutafuta pesa za kulipa madeni ambayo yameenda kwenye project za kifisadi..
Na N.Mushi

Bwawa la umeme
SGR
Vitambuslisho vya taifa
Anuani za makazi
Bomba la gesi