Serikali ya Tanzania Ina uzembe mkubwa sana kwenye suala la ajira, Kenya wanaidadi kubwa ya watumishi wa Umma kuliko Tanzania

Serikali ya Tanzania Ina uzembe mkubwa sana kwenye suala la ajira, Kenya wanaidadi kubwa ya watumishi wa Umma kuliko Tanzania

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Tanzania Ina eneo kubwa la ardhi kuliko Kenya, eneo kubwa la maji kuliko Kenya, mbuga nyingi za wanyama kuliko Kenya, uoto mzuri na ardhi kubwa ya kilimo kuliko Kenya. Tanzania Ina idadi kubwa ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kuliko Kenya, idadi kubwa sana ya watoto wanaosoma elimu ya awali kuliko Kenya.

Maajabu: Tanzania Ina walimu wachache sana waliajiriwa na serikali kuliko Kenya

Tanzania Ina upungufu mkubwa Wa wataalamu wa afya kuliko Kenya ila Ina wataalamu wengi wa afya mtaani kuliko Kenya.

Idadi ya watumishi wote wa Umma nchini Tanzania ni takribani laki 6 pekee huku Kenya ikiwa na watumishi wa Umma zaidi ya milioni 1.

Tanzania hutumia takribani bilioni 500 Kila mwaka kununua magari ya Umma pekee pesa ambazo zingeweza kutengeneza ajira zaidi ya Elfu 5O za umma Kila mwaka.

Vijana tunaonewa sana kwa kweli.
 
Idadi ya watumishi wote wa Umma nchini Tanzania ni takribani laki 6 pekee huku Kenya ikiwa na watumishi wa Umma zaidi ya milioni 1.
Yule Rais wa Kenya alisema Uganda wamelala na tanzania wamefanyaje??
 
Tanzania hutumia takribani bilioni 500 Kila mwaka kununua magari ya Umma pekee pesa ambazo zingeweza kutengeneza ajira zaidi ya Elfu 5O za umma Kila mwaka.
Hapo bila kuhesabu pesa za sherehe za chama na kulipa Vyawa
 
Back
Top Bottom