Serikali ya Tanzania ovyo sana


Asante kwa ukweli mkuu. Watz inabidi tuamke tupigane na uchafu unaoendelea kwa hali na mali. Lakini kwa kuongea na kupiga makelele haitoshi kwani mafisadi walishasema kelele za mpita njia haziwanyimi usingizi.
 
Lazima uwe kwenye klabu ya mataputapu kuja na ulevi kama huo

Lakini mkubwa si kuna ukweli huko kwenye ''Ulevi''? au imekuwa ulevi kwa sababu kayarudia haya kwa kuwa yalishajadiliwa sana hapa?
 
This is my country.....
Hivi vipaji vyote vimetusaidia vipi?
Nani wa kulaumiwa?

WomenofSubstanc

Ukitaka kujua jinsi nchi hii inavyoibiwa, anzisha PETS Ward Committee kwenye Kata yako, kisha wewe kama Mwenyekiti nenda pale ofisi ya Mtendaji (anzia huku chini), udai - si uombe - kuoneshwa vitabu vyote vya mahesabu na mapato ya Kata. PETS ni Public Expenditure Tracking Survey, mfumo ambao umeanzishwa na Serikali kuwawezesha Wananchi kupata ukweli na uwazi wa matumizi na mapato ya Serikali yao, kuanzia ngazi ya kijiji, hadi Kata hadi Wilaya hadi Mkoa! Kila Kata inapaswa kuwa na PETS Ward Committee, na hata kila Kijiji, Wilaya na Mkoa pia!

This is the only way we are going to keep these BASTARDS (sorry... I mean Wahehimiwa.... tehe tehe tehe) in check! Ni zamu yetu sasa!

Kata ya Kawe, mpo? Tuunde ya kwetu sisi... nitumieni PM tulianzishe la KIGETOGETOOOOOO!

./Mwana wa Haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…