Serikali ya Tanzania yaigomea kampuni ya China kubadili design ya flyover ubungo

Hii design inapendeza zaidi ikijengwa Kenya kuliko Tanzania sababu wao ndio wenye matuta ya mihogo wanayoyaita flyovers
Huyo uncle Tom mwambieni tulishamjua, kama hawezi kazi Jumatatu tusimkute site....
 
Aache Uhuni...yeye ni Contractor, mambo ya Design yalikuwa ya Consultant na Mteja (mwenye mradi). Yaani huyo Contractor, hakupitia tender document zenye ma-BoQ humo? Aache kabisa uhuni, katika hili.
 
Yani watz siasa kila kitu nadhan Kagame n mtu hatar sana kila kitu siasa.
Inatafutwa Mbinu ya kuamisha uzi kuupeleka Jukwaa la Rwanda...! Si- waona, uzi wa issue ya Tanzania...lakini wameamishia forum ya Kenya!
 
Inatafutwa Mbinu ya kuamisha uzi kuupeleka Jukwaa la Rwanda...! Si- waona, uzi wa issue ya Tanzania...lakini wameamishia forum ya Kenya!
Mkuu,
Hapana hapa usiwe na hofu, ni penyewe, hata hili jamvi la KE tulianzisha sisi wenyewe, kuna sababu kwanini hizi thread hatuziweki kule jukwaa la siasa..
 
Huyo uncle Tom mwambieni tulishamjua, kama hawezi kazi Jumatatu tusimkute site....
ive never met a more useless person.... than one who craves to be his neighbor more than himself... jealous wanker called bantugbro
 
Mleta mada Makame Mbarawa bado yuko kwenye wizara hiyo ?
 
Watakua wameshindwa kujenga hilo waloambiwa.. Wanataka kujenga wanaloweza wao
 
So a bridge inaexcite the whole of Tanzania? Enyewe LDC is real
 
You don't even have a bridge in failed state.

What are you talking?
You know we are constructing an expressway from Nairobi to Mombasa, 3 lanes and you dont hear us crying hapa. You guys are sad af. You have a small country mentality
 
Kumbe jina la flyover ya tazara "MFUGALE BRIDGE" limetokana na huyu bwana Patrick Mfugale wa Tanroads
 
You know we are constructing an expressway from Nairobi to Mombasa, 3 lanes and you dont hear us crying hapa. You guys are sad af. You have a small country mentality

Cos it's another huge loan from usa exim bank and warlords Betchel.

How will your failed state repay debt to exim china and now exim america?
 
Cos it's another huge loan from usa exim bank and warlords Betchel.

How will your failed state repay debt to exim china and now exim america?
So yee bitter Tanzanian, how is Kenya a failed country? You sound so salty, you dont want us to develop???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…