iphoneX
Senior Member
- Dec 12, 2017
- 193
- 173
Sallaam wadau!
Inasemekana serikali
Imetoa pesa za vijana, akina mama na wazee kupitia Saccos zinazotambulika, zikiwemo zile zinadhodhaminiwa kwa mwanvuli wa serikali. Kwa mujibu wa afsa mikopo niliyewasiliana naye kutaka kujua kwa undani zaidi; anasema pesa ni kweli za serikali ila ili uweze kukopeswa lazima ufanye yafuatayo;
Mosi, uwe mwanachama wa Saccos yoyote inayotambulika kisheria, na ili uwe mwanachama ni lazima ujiunge kwa kununua HISA, na hisa moja inauzwa 20,000/= sasa kuna baadhi ya saccos wanataka ili uwe mwanachama lazima uwe na hisa kuanzia 10, hii ndio kusema mwananchi wa kawaida ili apate uo mkopo lazima awe na kianzio cha laki moja kwanza(100,000/=) bado kufungua akaunti(10,000/=), na bima ya mkopo(15,000/=)
Pili, kitambulisho cha kura/taifa na kopi yake pamoja na picha 2 za passport size.
Note.
Afsa mikopo ameshindwa kujibu swali langu lililotaka kujua je, hizo fedha zinazoitwa za Magufuri zimetokwa wapi, na ktk kasma gani, na kwa bajeti ipi ya serikali!? badala yake anasema pesa zimeengizwa direct bank za nmb na crdb, Mara wengine wanasema Saccos nd wamepewa hizo pesa, lakini vilevile ameshindwa kunambia idadi kamili ya waliolengwa kufikiwa na huo mkopo,majibu yake ananambia siyo kazi yangu mimi na wao ndio wanaojua kyo kwa maneno mengine mkopo umejaa usiri, Kama nataka nisubiri semina maana kabla ya kupewa mkopo kuna semina itatolewa kwa wahusika.
MY TAKE.
Wadau Kama kuna MTU anajua hizi habari tafadhari tunaomba maelekzo ya kina. Isije kuwa matapeli wapo kazini na vyuma vilivyokaza hivi!