Tetesi: Serikali ya Tanzania yamwaga Pesa mitaani

Ccm ina laana......zile million 50 kila kijiji wamepeleka au ndo zinazojenga chattel airport ya wanyonge na watz masikini
 
Subiri walambe vilaki vyenu ili akili ikae sawa.Hakuna mikopo ya haina hiyo duniani eti kumwaga fedha,Unganeni vijana na muanziashe vikoba then baada ya Mwaka njoo utuletee mrejesho.Watawapiga na mkopo hamtapata na kwa kushtaki hamtapaona,amkaa
Ushauri mzuri ila umekosa ithibati mkuu!
 
-Serikali utoa pesa kwa vijana/wamama/wazee sema zinapigwa na wajanja.Ebu nenda serikali za mitaa.ofisi za mkuu wa wilaya au mkoa,wakumbushe zile 6 asilimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…