Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,579
Serikali ya Uingereza imeondoa umri wa kisheria wa kustaafu ili kupunguza malipo yanalipwa na mifuko ya uzeeni.
Nafikiri kwa Tanzania tukiamua kama wao itapunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya watumishi waandamizi serikalini wanaokimbilia vyeo vya kisiasi pindi wanapokaribia umri wa kustaafu. Adhari zake, idadi kubwa ya wahitimu wa vyuo vyetu vikuu itabidi wasubiri sana kupanda vyeo au hata kupata ajira.