Bado nawaza!
Watanzania watazidi kurubuniwa na sisi wachache mpaka lini?
Hayaa..
Huku kwenye chama tawala tunapeana moyo sana!!
Tunaamini kabisa watanzania watakubali kikatiba tuwe na serikali ya umoja wa kitaifa na hii itatubakiza kwenye ramani.
Mchakato ukikamilika tunaanza kazi,
Aisee naanza kupata nguvu sasa
Ila itanipunguzia ubwerere!
Wapinzani msikatae utaifa.
Mpaka mje mshtuke sisi tutakuwa tushamaliza kwa raia.
Malegendari wa chama tawala tunamawazo makubwa makubwa..hasa kwenye kulinda maslai yetu na familia zetu.