Mkosoaji atakuwa nani sasa
Huoni Jusa alivyoona hakuna upinzani tena akajitoa
Huoni Jusa alivyoona hakuna upinzani tena akajitoa
Naipenda serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hili ni moja lakini napata shaka kwa namna ambavyo serikali inashindwa kutatua tofauti na changamoto ndogo ndogo zinazodhoofisha umoja na udugu wetu sisi kama Watanzania tulio wamoja! Tunamhitaji kiongozi atakayetuwezesha kujenga umoja wenye nguvu kwa kuwa Mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe!