Matokeo ya mitihani ya supplementary yalotolewa tar.17 jumatano iliyopita yanapingwa vikali na serikali ya wanafunzi 'Dar es salaam Institute of Technology Student Organization-DITSO.
Kupitia barua iliyoandikwa tar.18 juzi inayoelekezwa bodi ya chuo haiyatambui matokeo hayo yalotolewa bila kusainiwa na DITSO, na inadai dhuluma imetumika ili kufelisha wengi walongoza mgomo kupigania wanafunzi walozuiwa kufanya mitihani FE kwa kutokamilisha registration. Haijafahamika DITSO itachukua hatua ipi.