Sio kweli, mwaka ambao uongozi wa wanafunzi umepigania wanafunzi waliozuiliwa kufanya mtihani kwa madai ya kutolipa ada kwa wakati ( kitu ambacho hakikua kweli) hadi wakafanya, mwaka huo huo matokeo ndo yawe mabaya haiwezekeni uwalaumu wanafanzi kuwa ni wamefeli tu, kuna kitu zaidi ya hicho hapo.hayo ndo matokeo yenu sasa lawama za nini? ukipanda bangi utavuna bangi...
rosewile pia ww upoapo dit 1 year au?
mgobo me nmechaguliwa hapo cha ajabu mpaka now hamnamajina kwenye site yao wanaboa kinomanoma