Serikali ya watu wa JamiiForums

Serikali ya watu wa JamiiForums

Mkulungai

Member
Joined
Jun 9, 2020
Posts
49
Reaction score
61
Kwa umoja wetu natoa mapendekezo ya kuundwa kwa serikali ya watu wa JamiiForums (JF)

HATUA:
-Kufanya uchaguzi wa rais wetu pamoja na mkaimu
-Kisha raisi kwa mamlaka tutayompa atamchagua waziri mkuu
-Uteuzi wa mawaziri wa nyuzi zote za (JF)
 
Bora hata ungependekeza michango kuinyanyua JF
maana wewe ukijaza buku tu au hata bundle la gwala umeingia na ku surf hujui kuna wanaolipwa mishahara, wapo wanaolipwa kama Wanasheria wa JF, kumeme wa LUKU wa kutunza saver ili uone michango yako ya kila siku, Tusijitafutie Makuu ya kuweka Rais Makamu na Waziri Mkuu wakati hawajui JF inaendeshwaje
Labda magroup ya CHAT nk
 
Hili litashughulikiwa na serikali itayoundwa
 
VIPI TUTAMCHAGUA RAIS NA WAZIRI MKU TUSOWAJUA?
KWA MFANO, HATUWAJUI KWA ILA KWA I.D TUU, TUTAJISHTUKIZIA KUMBEE TUMEMCHAGUA
RAIS LISSU/WAZIRI MKUU MBOWE AU RAIS MAKONDA/WAZIRI MKUU SABAYA AU RAIS ZITTO/WAZIRI MKUU MEMBE AU RAIS DUDUBAYA/WAZIRI MKUU SHISHI BABY.
ITAKUWA SHUGHULI PEVU SANA HAPO.
 
Katika hiyo serikali hakikisha nyumbu kutoka ufipa hawapati nafasi. Ni wanafki na waongo sana
Bwana Nick umeshindashinda Stand naona ushakua dereva saivi...!! Aisee.. kweli pata pesa tujue tabia zako.
 
Back
Top Bottom