Serikali ya wenzetu Kenya kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yliyoundwa nchini Kenya.

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Katika hatua ambayo integemewa kukuza uchumi kwa kiwango kikubwa kupitia uwekezaji, serikali ya Kenya inatazamiwa kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yatakayoundwa nchini Kenya.
Kwa sasa hivi Kenya tayari imetoa exemption ya import Duty ya 25% wa magari yanayoingizwa.

Tahadhari kwa Tanzania: Si muda mrefu watanzania wataanza kuagiza magari Kenya kutokana na unafuu wa bei, tusipoiga wenzetu.

Nashika nafasi mapema then ntarudi kusoma michango ya watu[emoji23]
 
Punguza shobo. Huwajui Wakenya kwa tmbo zao?
 
Sisi hatuna shida maana tunategemea ayo magari kukusanya kodi, hatuwezi ruhusu mambo ya kupunguziana kodi
 
Tatizo bungeni ni chama kimoja.tuweni na ufahamu na Dunia hii ya sasa.
 
Na sisi tuondoe si tuna yale magari ya nyumbu na kipanya motors🐒
 
Katika hatua ambayo integemewa kukuza uchumi kwa kiwango kikubwa kupitia uwekezaji, serikali ya Kenya inatazamiwa kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yatakayoundwa nchini Kenya.
Kwa sasa hivi Kenya tayari imetoa exemption ya import Duty ya 25% wa magari yanayoingizwa.

Tahadhari kwa Tanzania: Si muda mrefu watanzania wataanza kuagiza magari Kenya kutokana na unafuu wa bei, tusipoiga wenzetu.

Wataongeza Kodi ili yasinunulike
 
Back
Top Bottom