BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,006
Nilikuwa wiki mbili Zanzibar niliyaona ni hatari sana kwa heshima ya Tanzania. Forodhani Hotel imejaa wahuni watoto wadogo street boys leo hii wanaona wazungu wamekaa wanaomba kila mtu. Haitoshi wanapigania chakula wanachopewa na wazungu, inahuzunisha sana.
Wakati haya yakiendelea nje ama pembeni ya njia Forodhani zimekaa defender mbili za polisi. Inahuzunsha sana, mbaya zaidi manispaa wako pale kukamata wasiovaa uniform wanaacha wale watoto wakiomba kila mzungu. Hiyo haitoshi hili ndilo limenitisha zaidi, kuna wakati usiku walitishiana wakafikia watoto wadogo wawili kutoa visu. Hili limenitisha sana wapi Zanzibar tunaelekea.
Je ni kweli hawa watoto wa mtaani tumewashindwa kabisa kuwaondoa sehemu yenye utalii? Mnafundisha nini hao watalii wanayoyaona haya?