Sisi wa bara hatutaki kuvunja muungano kwa sababu muungano ndiyo unazuia Zanzibar kuwa Dola la Kiislam. Zanzibar ikiwa Dola la Kiislam watatuletea siasa za Kigaidi
Mimi ni Mkristo lakini kwa mwezi huu kuwa na stara ni muhimu sana sana, tusiwatie wenzetu kwenye majaribu?, Si dhambi, kula upendavyo lakini basi kwa faragha kidogo, tusifanye kazi za shetani kwa kuwajaribu wenzetu hawa katika imani yao.
Tatizo la bongo zetu kujaa upepo, wala huwa hatufahamu jinsi ya kutafakari mambo kwa kina, kabla ya mwaka 1600, bongo zetu zilifanana na empty flash discs, toka tumejazwa na kushindiliwa upepo
Mimi ni Mkristo lakini kwa mwezi huu kuwa na stara ni muhimu sana sana, tusiwatie wenzetu kwenye majaribu?, Si dhambi, kula upendavyo lakini basi kwa faragha kidogo, tusifanye kazi za shetani kwa kuwajaribu wenzetu hawa katika imani yao.
Wewe sio mkristo wewe ni mjinga mjinga ndio maana kila sehemu unaweka maoni haya haya…mtu kuwa muislam ni kuhakikisha wengine wanateseka? Sasa kama mtu anafung kula huyo hata haijui dini bali anabadilisha muda wa kula!
Rais mwinyi anaharibu zanzibar na utalii kwa ujumla Mwinyi mwanzo nilidhani ni kiongozi lakini hii inaonesha wazi si kiongozi ..
Mimi ni Mkristo lakini kwa mwezi huu kuwa na stara ni muhimu sana sana, tusiwatie wenzetu kwenye majaribu?, Si dhambi, kula upendavyo lakini basi kwa faragha kidogo, tusifanye kazi za shetani kwa kuwajaribu wenzetu hawa katika imani yao.
Watu wenye imani ya kweli hufarijika wanapozishinda dhamira na tamaa zao.
Wewe umeamua kufunga, mtu akila wakati unaona, kwani anakuwa amekuwekea chakula mdomoni?
Mwenye funga ya kweli hawezi kushindwa kuendelea na funga yake eti kwa vile amekiona chakula. Tena unaweza kuwa mfanyakazi wa hoteli, ukaendelea kuhudumia watu wanaokula, huku wewe ukiwa umefunga. Kama kuna mtu anashindwa kuendelea na funga kwa sababu amekiona chakula, huyo hajafunga. Ni mnafiki.
Huku bara, mbona sisi wengine tunasafiri na waislam waliofunga, mnasimama sehemu, mnaenda kula, yeye anabakia kwenye gari, na mkifika sehemu, muda wa futari umefika, anawaomba msimame ili apate chochote, nanyi mnamsubiria. Ina maana hao hawajafunga?
Wazanzibari waache unafiki, waache chokochoko. Kufunga siyo tukio la ajabu wala siyo la pekee kiasi kwamba uwalazimishe na wengine wafanye unachotaka wewe wakati nao wana imani zao. Huko ni kukosa akili, ni kukosa hekima.
Hii funga ya maonesho ni funga ya shetani. Anayefunga hasa, hana sababu ya kufanya matangazo wala kuwalazimusha wengine wafanye nini eti ili aweze kufanikisha funga yake. Unatakiwa ufunge ukiwa katikati ya mazingira halisi.
Wakiristo tulieni. Kuleni ndani kama hamuezi ondokeni mpaka Ishe ramadhani. Mikwaju tu mkila nje. Ushindani wa chadema vs ccm mnataka kuuleta ktk dini?
TUWE WAKWELI, KWA ZANZIBAR HUWA KUNA WARNING MAALUM KWA WAGENI NA WATALII HASA KATIKA MWEZI HUU WA TISA WA KIISLAM WA RAMADAN, ZANZIBAR DINI IMECHANGANYWA NA UTAMADUNI, :-
Ramadan Etiquette on Zanzibar.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Don't eat or drink in public during the day during Ramadan. It's not against the law to eat in public, but it is considered polite, while so many people are fasting, to eat lunch privately or at a hotel where restaurants will remain open for foreign guests.
Mimi ni Mkristo lakini kwa mwezi huu kuwa na stara ni muhimu sana sana, tusiwatie wenzetu kwenye majaribu?, Si dhambi, kula upendavyo lakini basi kwa faragha kidogo, tusifanye kazi za shetani kwa kuwajaribu wenzetu hawa katika imani yao.
Wewe mkristo jina, ungejua wakristo pia hufunga na hawacharazi watu bakora usinge sema huu upagani.
Ukifunga huwezi piga mtu sababu kupiga mtu umeharibu funga.
Funga inayokubalika ni ile ya hiyari toka moyoni siyo ya kulazimishwa na kupiga watu. Mimi sikubaliani na funga ya shuruti. Nafunga na sitamani kula wakati usiokubalika katika dini.
Wanzanzibari ni watu wa ajabu na wanafiki sana. Yaani ukiwa mtu wa bara huruhusiwi kumiliki Ardhi kwa kisingizio nchi ni ndogo lakini umeme na hata mchanga wa kujenga unatoka bara!
Passport ni moja! Watu ni ndugu. Cha ajabu Wanzanzibari hao hao ni warahisi kwenda nje na kugawa Ardhi bure kwa “ wawekezaji”. Wewe mbara ukitaka kwenda kutengeneza studio zanzibar hutapewa lakini Idris Elba atapewa kila kitu!!
Hawa ndugu zetu tumewavumilia sana. Wenyewe wana nyumba Mbweni , ukuu wa wilaya, mkoa na mpaka Raisi wao alikuwa mbunge wa huko bara Mkuranga! Lakini wapo tayari kubagua wabara na kujipendekeza kwa watu. Na kuna watu hapa ni watetezi wa huu ujinga