Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Duu umetisha mkuu.hivi wanahisi kununua ardhi na kujenga jengo ni kitu chepesi? hawa jamaa hopeless kabisa
Vigezo na masharti kuzingatiwa .hivi wanahisi kununua ardhi na kujenga jengo ni kitu chepesi? hawa jamaa hopeless kabisa
Vigezo na masharti kuzingatiwa .
Ukiwa mwalimu na mlezi kwa watoto, lazima utimize vigezo .vilivyowekwa na serikali
Kila mjasiriamali akifanya atakavyo yeye , itakuwa sio elimu Tena.
Issues ya kununua kiwanja ni pointless kabisa, inavyoonekana wewe unawezo wa kuwajiri watu wasio na vigezo coz wenye vigezo utawalipa mshahara mkubwa .
Duu mkuu, unapotoa huduma wateja ni wajibu kutoa huduma Bora kwa wateja wako.na hali zetu za uchumi pia tunatakiwa kuziangalia, nyingi ya hizo shule wanazosema ni za uekezaji mdogo, wanaosoma ni watoto wa hali ya chini na fee ndogo. sio rahisi muwekezaji kuweza kufanya hayo mambo kiwepesi. na zipo mitaani ambao hata bei ya ardhi sio ndogo.
Chakushangaza kabisa hayo yote yanatokea kutokana na failure zao, kwanini wazee wapeleke watoto wao private schools wakati za government zipo? sababu ni kuwa wao wenyewe wameshindwa kufanya wajibu wao ipasavyo lakini kimbelembele kupangia wenzao.
Duu mkuu, unapotoa huduma wateja ni wajibu kutoa huduma Bora kwa wateja wako.
Na pia ndio maana nawalaumu wizara walikuwa wapi mpaka hizi shule nyumba zinatoa huduma .
Kwa shule za awali za serikali ni chache , nyie mumejiamulia utaratibu wenu wa kufanya KAZI duu noma sana.
Duu mkuu, unapotoa huduma wateja ni wajibu kutoa huduma Bora kwa wateja wako.
Na pia ndio maana nawalaumu wizara walikuwa wapi mpaka hizi shule nyumba zinatoa huduma .
Kwa shule za awali za serikali ni chache , nyie mumejiamulia utaratibu wenu wa kufanya KAZI duu noma sana.
Tatizo ni wazazi kuruhusu hilo, imagine asubuhi unaona bodaboda kabeba watoto wadogo watatu anawapeleka shule. Na mzazi ndie aliewapakia.Haha waje hapa Dar es salaam, ndio watachoka kabisa , watoto wanapanda school bus lakini shule ina nyumba yenye kibaraza,
Itakuwa wafanyakazi wa wizara wanapewa rushwa , maana hizi shule nyumba kwa hapa Dar es salaam zipo nyingi sana.
Alafu kumbe na zile bembea za watoto huwa hawazitumi hata kidogo ziko pale Kwa ajili ya kuvutia wateja TU 😂 . Watoto wanacheza chini ya mti
Kuna vitu serikali iliwadaganya watu riziki popote, kumbe wanaenda kuua kizazi Chao. Sasa uko mashuleni watoto wanapata magonjwa coz wanarudikwa wengi kwenye ki chumba kidogo kwa kukosa hewa safi, kulishwa vyakula vya hovyo, unyanyasaji wa kingono.Tatizo ni wazazi kuruhusu hilo, imagine asubuhi unaona bodaboda kabeba watoto wadogo watatu anawapeleka shule. Na mzazi ndie aliewapakia.
Unajiuliza huyu mzazi ana akili sawasawa kweli..?
Akifika kijiweni anajisifu kua yeye hawapi hela walimu kwa kutolipia school bus.
Okay mkuu, weka kiwango cha 500k > ili kutoa elimu Borahudumu always inaendana na malipo, huwezi lipia 25,000 - 50,000 kwa mwezi ukategemea kupata huduma ya kiwango kizuri. hizo kesi huwezi kuta kwenye shule zinazoanzia malipo ya 200 k kwa mwezi.
Okay mkuu, weka kiwango cha 500k > ili kutoa elimu borahudumu always inaendana na malipo, huwezi lipia 25,000 - 50,000 kwa mwezi ukategemea kupata huduma ya kiwango kizuri. hizo kesi huwezi kuta kwenye shule zinazoanzia malipo ya 200 k kwa mwezi.
Okay mkuu, wa TZ zaeni kwa uangalifu serikali yenu imeshindwa kuwahudumia nyie watu masikini.kwanini ziwe chache? huhisi kama hilo ni jukumu lao? ikiwa wao wamefail, wanataka kusumua wengine.
Okay mkuu, weka kiwango cha 500k > ili kutoa elimu bora
Okay mkuu, wa TZ zaeni kwa uangalifu serikali yenu imeshindwa kuwahudumia nyie watu masikini.
Lakini mkuu wewe ni muwekezaji inakupasa kutoa elimu Bora kivyovyote vile
Dini ni ukoloni wa fikraZanzibar wanajifanya wanadini kumbe ziroooooo ,kifupi dini ni chakaaaaa la kujifichiaaaa
Okay tunataka jamii Boramkuu mimi sifanyi hiyo biashara, nimeongelea kutokana na uzoefu wangu na uhalisia wa hali tu
Unakuta bodaboda asbhi amepakia watoto wa 4 na wote chini ya miaka mi5 alafu anawapeleka mbio balaa yaani nikionaga vile mwili unanisisimka Kwa hofuTatizo ni wazazi kuruhusu hilo, imagine asubuhi unaona bodaboda kabeba watoto wadogo watatu anawapeleka shule. Na mzazi ndie aliewapakia.
Unajiuliza huyu mzazi ana akili sawasawa kweli..?
Akifika kijiweni anajisifu kua yeye hawapi hela walimu kwa kutolipia school bus.
Wa TZ wamefeki kimiashaUnakuta bodaboda asbhi amepakia watoto wa 4 na wote chini ya miaka mi5 alafu anawapeleka mbio balaa yaani nikionaga vile mwili unanisisimka Kwa hofu