Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku "Shule nyumba"

Unakuta bodaboda asbhi amepakia watoto wa 4 na wote chini ya miaka mi5 alafu anawapeleka mbio balaa yaani nikionaga vile mwili unanisisimka Kwa hofu
Mkuu acha kabisa, jiji kama dar mtu anapakia vitoto vinne hata kujishikilia vizuri haviwezi.
 
Hivyo vinyumba siku hizi ndo hizi baby care, kila uchochoro zipo.
 
Karne hii watu bado wanawaza elimu kutolewa kwenye majengo ? Kukusanya watu uwaelimishe ni mtindo unaenda kupitwa na wakati.Teknolojia inawezesha elimu unaipata popote. Huu ndio mda wa kutunga sera za HOME SCHOOLING.
Waafrika ndio kundi linaloenda kizamani zamani. Conservative people.
 
L
Sasa mtoto wa chekechea una mfundishaje online, ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…