Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Serikali ya Zanzibar kupitia Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA) imemzuia Mfanyabiashara Maryam Shaaban kutoendelea kuuza bidhaa za Lump Sugar maarufu ‘vipipi’ inayodaiwa kutumiwa na Wanawake kujiweka sehemu za siri ili kupata mvuto na kubana maumbile yao.
Pia soma
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
Pia soma
Madaktari waonya kuhusu matumizi ya Vipipi Mahaba
Tahadhari hii imetolewa na Jumuiya ya Madaktari nchini kufuatia kuongezeka kwa matangazo yanayohamasisha matumizi yake. Matumizi ya dawa mbalimbali zinazoongeza hamu ya kushiriki tendo la ndoa kwa Wanawake imeelezwa yanahatarisha afya za wahusika Baadhi ya dawa hizo hutumika kama pipi na...
Serikali iingilie kati biashara na matumizi ya Vipipi utamu
Last month nilienda Zanzibar business trip na wenzangu .tukiwa kule pamoja na mambo mengi tulikuwa tunaangalia fursa mbalimbali. Katika mambo mengi tuliofanya mle nikaamua kumulika hii biashara ya vipipi utamu nilikuwa navisikia Sana huku bara. Nikakutana na mpemba mmoja akaniambia bna vipipi...