Serikali yaagiza magereza kupewa ruzuku ya nishati safi ya kupikia

Mpepetaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
346
Reaction score
213
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameilekeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kutoa ruzuku kwa Jeshi la Magereza ili kutekeleza maelekezo ya Serikali kuhusu matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia na kuhakikisha Magereza yote yanaondokana na Nishati isiyo safi.

Your browser is not able to display this video.
 
Ruzuku kivipi,ni ile hela inayokatwa ukinunua umeme ndio watakuwa wanapewa kama ruzuku au mi ndio sielewi...?
 
Ile teknolojia ya choo cha binadamu kupikia inafaa sana huko magereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…