beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Mamlaka ya Mawasiliano (UCC) imeagiza wanaotoa au wenye nia ya kutoa maudhui kupitia televisheni, redio za mtandaoni, blogu na majukwaa mengine mtandaoni kuwa kibali na Serikali
-
Wahusika wametakiwa kujiandikisha UCC hadi kufikia Oktoba 05, 2020. Sehemu ya notisi iliyotolewa na Mamlaka hiyo imesema wanakusudia kukuza na kulinda maslahi ya wateja, waendeshaji, watazamaji na wasikilizaji
-
Wakosoaji wanasema agizo hilo linalenga kunyamazisha vyombo vya habari wakati Uganda inajiandaa na Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mapema mwaka 2021