Tanzania Railways Corp
Govt Institution
- Mar 23, 2018
- 292
- 690
Hivi TRC mko nje ya nchi au mnatumia VPN kuwasilisha taarifa zenu humu janvini?Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imeanza zoezi la kulipa fidia ya Shilingi bn 3.66 kwa wananchi 2,471 wa Mikoa ya Simiyu ,Mwanza, Shinyanga na Tabora, ambao maeneo yao yametwaliwa kupisha Umeme wa msongo mkubwa utakaotumika katika mradi wa SGR kipande cha 5 (Isaka-Mwanza).
Mradi wa SGR ni mradi wa usanifu na Ujenzi kwa muktadha huo, maeneo yanayohitajika kwa Shughuli za mradi yamekuwa yakitwaliwa ambapo Serikali imekuwa ikiwalipa fidia wananchi ambao maeneo yao yametwaliwa ili kupisha ujenzi wa miundombinu ya reli ya kiwango cha kimataifa - SGR
Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa hebu iwekeni hii vizuri. Watakuwa wamesahau ni Samia kaamua kwa upendo wake binafsi na moyo wa huruma, kawasikiliza wananchi na kusikia kilio chao, kaamua kuwalipa fidia wananchi wake.Kumbe ni serikali sio Samia Suluhu Hassan?!
Unapongeza wananchi kulipwa wastani wa 1.5MHongera Kwa kazi nzuri
Vipi upande wa kigoma maeneo yaliyopitiwa na mradi malipo yataanza lini?
Asanteni Kwa kazi nzuri.
UnyonyajiWastani wa tshs 1.5 m kwa kila mwananchi. Duh
2040Hivi sgr itaanza safari zake toka dsm had mwz mwaka gani?
serikali sikivu ya ccm itaendelea kuimarisha mtandao wa usafirishaji nchini kwa maslahi mapana ya waTanzania wote,Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa hebu iwekeni hii vizuri. Watakuwa wamesahau ni Samia kaamua kwa upendo wake binafsi na moyo wa huruma, kawasikiliza wananchi na kusikia kilio chao, kaamua kuwalipa fidia wananchi wake.