DOKEZO Serikali yadaiwa kuzuia matumizi ya daraja la kwanza kwa viongozi wanaposafiri nje ya nchi kikazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
2. Ofisi ya Rais • TAMISEMl tmcpokea barua yenye Kumb. Na. SAD 429/546/11/6 ya tarebe 13 Novemba. 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi (IKULU) kuhusu somo ta/wa hapo juu.

3 Ktrtokana na kuwepo kwa changamoto ya uhaba wa fedha za kigeni, Serikah imewcka zuio la matumizi ya uaafin wa ndege kwa daraja la kwanza (f«sf class) kwa wngczi wa Sehkab wa ngazi zote wanaposafi nje ya nchi takazi kwa gha»ama za Senkali isipokuwa kwa Viongozi Wakuu. Uieketezaji wa zwo hit unaanza mara moja had*
itakapoeiekezwa vinginevyo.

4. Kwa dokezo hili tafadhali zingalieni maelekezo haya Axjha wajulisheni watumishi waliopo chini yeou kama ilivyoetekezwa katika barua husika.

Nawashukuni kwa ushirikiano wenu

1701444708406.png
 
Serikali ina matumizi mabaya sana pesabza walipa kodi najiahurunia sanaaaa
 
2. Ofisi ya Rais • TAMISEMl tmcpokea barua yenye Kumb. Na. SAD 429/546/11/6 ya tarebe 13 Novemba. 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi (IKULU) kuhusu somo ta/wa hapo juu.

3 Ktrtokana na kuwepo kwa changamoto ya uhaba wa fedha za kigeni, Serikah imewcka zuio la matumizi ya uaafin wa ndege kwa daraja la kwanza (f«sf class) kwa wngczi wa Sehkab wa ngazi zote wanaposafi nje ya nchi takazi kwa gha»ama za Senkali isipokuwa kwa Viongozi Wakuu. Uieketezaji wa zwo hit unaanza mara moja had*
itakapoeiekezwa vinginevyo.

4. Kwa dokezo hili tafadhali zingalieni maelekezo haya Axjha wajulisheni watumishi waliopo chini yeou kama ilivyoetekezwa katika barua husika.

Nawashukuni kwa ushirikiano wenu

Unoko sana
 
Bora huyu amewaambia mtasafiri kwenda nje lakini sio kwa First class ticket ila yule mwingine aliwaambia huko nje mtapasikia na kupaona kwenye Luninga tu
 
Wengine wana safiri na familia,madem zao wakiwa first class

Ova
 
Inabidi ziendelee kuadimika hadi hao wanaoitwa viongozi wakuu waanze kusafiri kwa Yutong😁

20230922_141455.jpg
 
2. Ofisi ya Rais • TAMISEMl tmcpokea barua yenye Kumb. Na. SAD 429/546/11/6 ya tarebe 13 Novemba. 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi (IKULU) kuhusu somo ta/wa hapo juu.

3 Ktrtokana na kuwepo kwa changamoto ya uhaba wa fedha za kigeni, Serikah imewcka zuio la matumizi ya uaafin wa ndege kwa daraja la kwanza (f«sf class) kwa wngczi wa Sehkab wa ngazi zote wanaposafi nje ya nchi takazi kwa gha»ama za Senkali isipokuwa kwa Viongozi Wakuu. Uieketezaji wa zwo hit unaanza mara moja had*
itakapoeiekezwa vinginevyo.

4. Kwa dokezo hili tafadhali zingalieni maelekezo haya Axjha wajulisheni watumishi waliopo chini yeou kama ilivyoetekezwa katika barua husika.

Nawashukuni kwa ushirikiano wenu

Safi✅
 
Viongozi Wakuu ni akina nani?

Najua Rais, Makamu wake, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Spika na Naibu wake wanahusika hapo. Kuna wengine wanaohusika na hiyo hadhi ya viongozi Wakuu?
 
Wana waharibia wala maboflo. Sasa chai maandazi kama kawa.

Ni mwelekeo mzuri.
 
Back
Top Bottom