chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Zitatufanya tuwehukeee kabisaaaa.
Daaaah wahusika kama mnapita humu basi tupeni hata taarifa tu kuwa zitachelewaaa au ni hivi karibuni.
Sio kwamba hatuna cha kufanya but private mikataba inatubanaa coz hatujui mnatoa lini post.
Tafadhali wakuu kama mtafanikiwa kutoa uzii huuu mtuambiee tu kuwa zatoka lini.
Tunashindwa hata lakufanya huku mitaani coz tetesi ni nyingi sana yani.

Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha Watanzania Tuzungumze Magazeti.. Nikasikia msomaji akisoma title hiyo hapo juu kutoka gazeti la Tanzania Daima la leo alhamisi tarehe 09/04/2015.
Nayaona majanga kwa mwaka huu.