Serikali yafuta ajira za walimu mwaka huu

Status
Not open for further replies.

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
Zitatufanya tuwehukeee kabisaaaa.

Daaaah wahusika kama mnapita humu basi tupeni hata taarifa tu kuwa zitachelewaaa au ni hivi karibuni.

Sio kwamba hatuna cha kufanya but private mikataba inatubanaa coz hatujui mnatoa lini post.
Tafadhali wakuu kama mtafanikiwa kutoa uzii huuu mtuambiee tu kuwa zatoka lini.

Tunashindwa hata lakufanya huku mitaani coz tetesi ni nyingi sana yani.
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha Watanzania Tuzungumze Magazeti.. Nikasikia msomaji akisoma title hiyo hapo juu kutoka gazeti la Tanzania Daima la leo alhamisi tarehe 09/04/2015.

Nayaona majanga kwa mwaka huu.
 
Hahahah blaza najua unaumia sana ila we ni comedian cz jana ulileta uzi ajira soon watu waandae nauli so dahh nabaki kucheka tu.
 

kijana unachosha sasa?yaan kila thread unaanzisha ww,kwani lazima uajiriwe serikalini?mwaka huu hamna ajira
 
hatar sna, huu mwaka mheshimiwa anakwangua kila wizara apate za kuwaachia had vilembwe vyake hapo baadae.. so bajeti ile inawezekana watu washagawana!!
 
hii ndo Tanzania inch yenye watu wanaotoa sabubu bila uchunguzi na kila kiongozi anataka maamuzi yake yasipingwe BRN TZ.
 
nyie mnao mlaumu chichimizi mmetumwa na wizara husika nini muacheni kijana awasilishe malalamiko yake hii ndo demokrasia
 
walimu maisha magumu watu wanagawana mabilion mezan na boss wao ndo mgawaj, hii so nchi ya kuishi jaman
 

Hii ndo nchi ya ahadi kila kitu hovyo kabisa
 
Daaah yani mpenzi wangu ashaanza kusema amechoka kila siku tu.
 
Aheri uzaliwe mbwa marekani kuliko binadam Tanzania
 
Hatari sana kama hawa ndio wanakwenda kulea watoto wetu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…