Serikali yafuta ajira za walimu mwaka huu

Status
Not open for further replies.
Kama hakuna wa kukufariji pale unapoanza kupata mafanikio basi inabidi ujifariji mwenyewe. Watu wamechoka kusugua gaga mtaani badala yake wengine ndokwanza wanazid kuwavunja mioyo, chamsingi hapa somo la uvumilivu lichukue nafasi mwisho wa siku kitaeleweka tu kama watu tuingie msituni kuchoma mkaa au twenzetu madarasani.
 
am a teacher but waalimu mnatia aibu ninyi peke yenu ndo mmehitimu chuo mwaka jana? hamtumii hata akili ndogo ya general study mlosoma pasipokuwa na fedha mtaenda lipwa nini?
kumbuken serikali ina katiba mpya, uchaguzi, yote haya ni pesa na waalimu kuwaajiri lazima wajipange maana field ina utitir wa watu wengi fedha ni nyingi.
tcu guide book iliandika loan priority na sio employment priority
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…