Serikali yafuta division 5.

Serikali yafuta division 5.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Akiongea katika kipindi cha jambo leo asubuhi kupitia TBC 1 naibu waziri wa Elimu Bw. Philipo Mulugo amesema serikali imefuta div. 5 baadala yake itaendelea kuitwa div 0 kama ilivyokuwa inaitwa zamani.
Mulugo amewataka watanzania wasiwe na wasiwasi na mfumo wa sasa wa upangaji matokeo kwani ni mfumo unaotumika kwa nchi nyingi barani afrika, kuhusu matokeo ya darasa la saba Mulugo amesema wizara inahitaji kusifiwa kwani imefanya juhudi kubwa katika kuhakikisha kiwango cha ufaulu kinapanda toka 30% ya mwaka jana mpaka 50.6% ya mwaka huu, kuhusu madaraja ya kidato cha sita mchakato bado unaendelea.
 
ni kweli watoto wamefaulu sana, but wizara ya elimu haiaminiki, sitashangaa badae kusikia miongo mwa waliofaulu hawajui kusoma na kuandika.
 
Akiongea katika kipindi cha jambo leo asubuhi kupitia TBC 1 naibu waziri wa Elimu Bw. Philipo Mulugo amesema serikali imefuta div. 5 baadala yake itaendelea kuitwa div 0 kama ilivyokuwa inaitwa zamani.
Mulugo amewataka watanzania wasiwe na wasiwasi na mfumo wa sasa wa upangaji matokeo kwani ni mfumo unaotumika kwa nchi nyingi barani afrika, kuhusu matokeo ya darasa la saba Mulugo amesema wizara inahitaji kusifiwa kwani imefanya juhudi kubwa katika kuhakikisha kiwango cha ufaulu kinapanda toka 30% ya mwaka jana mpaka 50.6% ya mwaka huu, kuhusu madaraja ya kidato cha sita mchakato bado unaendelea.

Kweli babisa kuna watakaofaulu na Hawajui kusoma
 
Mulugo na wizara yake bwana. Wakitishiwa nyau tu wanabadili maamuzi. Kuna mambo mengi sana wameyabadili baada ya wananchi kuyakataa.

Ninachojiuliza ni kwamba hii wizara haifanyi tafiti kabla ya kupitisha jambo? Au mtu anakurupuka tu kutoka usingizini na kupitisha maamuzi!!!!?
 
Si jana tu wamwtutangazia kuna division five! leo wanakanisha. aaawwwh
 
Hii nchi wangeletwa misikule waishi make tunafanywa kama madudu washa leo wanasema hiki kesho kile
 
Kwanza ni bora Wizara ingebadili kufaulu mwisho ni div2 na watakaobaki yaani 3 na 4 wapelekwe JKT na VETA, na shule ya msingi mwisho wastani wa75 baaasi.
 
Akiongea katika kipindi cha jambo leo asubuhi kupitia TBC 1 naibu waziri wa Elimu Bw. Philipo Mulugo amesema serikali imefuta div. 5 baadala yake itaendelea kuitwa div 0 kama ilivyokuwa inaitwa zamani.
Mulugo amewataka watanzania wasiwe na wasiwasi na mfumo wa sasa wa upangaji matokeo kwani ni mfumo unaotumika kwa nchi nyingi barani afrika, kuhusu matokeo ya darasa la saba Mulugo amesema wizara inahitaji kusifiwa kwani imefanya juhudi kubwa katika kuhakikisha kiwango cha ufaulu kinapanda toka 30% ya mwaka jana mpaka 50.6% ya mwaka huu, kuhusu madaraja ya kidato cha sita mchakato bado unaendelea.

Tatizo wako very concerned na quantity badala ya Quality.
 
atleast wamejitambua kidogo duuuuuuu..!! ilikuwa tuna zika elimu.
 
Hii Wizara kweli inaendeshwa na wendawazimu......Hadi prof kaingia kichawa kichwa sasa naona washamwingiza choo cha kike. .........Nadhani kuanzia sasa atakua amejifunza kuwa siasa hazina darasa.
 
Serekali yetu mbona haina msimamo...........kigeugeu tu mnawazingua madogo
 
Kwanza ni bora Wizara ingebadili kufaulu mwisho ni div2 na watakaobaki yaani 3 na 4 wapelekwe JKT na VETA, na shule ya msingi mwisho wastani wa75 baaasi.
Mkuu huu ndio ukweli tunaoukataa.kamwe haiwezekani wote tukawa maDR au maengeneer wa UDSM.ni lazima baadhi yetu tukubali ni vilaza na tujiunge na JKT
 
Akiongea katika kipindi cha jambo leo asubuhi kupitia TBC 1 naibu waziri wa Elimu Bw. Philipo Mulugo amesema serikali imefuta div. 5 baadala yake itaendelea kuitwa div 0 kama ilivyokuwa inaitwa zamani.
Mulugo amewataka watanzania wasiwe na wasiwasi na mfumo wa sasa wa upangaji matokeo kwani ni mfumo unaotumika kwa nchi nyingi barani afrika, kuhusu matokeo ya darasa la saba Mulugo amesema wizara inahitaji kusifiwa kwani imefanya juhudi kubwa katika kuhakikisha kiwango cha ufaulu kinapanda toka 30% ya mwaka jana mpaka 50.6% ya mwaka huu, kuhusu madaraja ya kidato cha sita mchakato bado unaendelea.

Kwa darasa la saba akina Mulugo walichokifanya ni 'kukata mti ili uwaangukie walimu wa sekondari' ambao watapokea wasiojua kusoma, kuandika, kuhesabu wala kufikiri.
 
Back
Top Bottom