Akiongea katika kipindi cha jambo leo asubuhi kupitia TBC 1 naibu waziri wa Elimu Bw. Philipo Mulugo amesema serikali imefuta div. 5 baadala yake itaendelea kuitwa div 0 kama ilivyokuwa inaitwa zamani.
Mulugo amewataka watanzania wasiwe na wasiwasi na mfumo wa sasa wa upangaji matokeo kwani ni mfumo unaotumika kwa nchi nyingi barani afrika, kuhusu matokeo ya darasa la saba Mulugo amesema wizara inahitaji kusifiwa kwani imefanya juhudi kubwa katika kuhakikisha kiwango cha ufaulu kinapanda toka 30% ya mwaka jana mpaka 50.6% ya mwaka huu, kuhusu madaraja ya kidato cha sita mchakato bado unaendelea.

Kwanza ni bora Wizara ingebadili kufaulu mwisho ni div2 na watakaobaki yaani 3 na 4 wapelekwe JKT na VETA, na shule ya msingi mwisho wastani wa75 baaasi.
Mkuu huu ndio ukweli tunaoukataa.kamwe haiwezekani wote tukawa maDR au maengeneer wa UDSM.ni lazima baadhi yetu tukubali ni vilaza na tujiunge na JKTKwanza ni bora Wizara ingebadili kufaulu mwisho ni div2 na watakaobaki yaani 3 na 4 wapelekwe JKT na VETA, na shule ya msingi mwisho wastani wa75 baaasi.