Serikali yafyeka mishahara ya watumishi

Mwafaa
By John Pombe Joseph Magufuli Mzilankende
 
Nadhani si taasis zote, kuna taasisi wanalipwa

Rudi kwanza ground upate taarifa kamili
 
Hao hata wakikatwa nusu ya mishahara yao hakuna shida.
Mitano tena.
 
Inawezekana bosi. Au mfumo labda unashida. I strongly believe serikali haiwezi fanya hivyo. Ngoja nifuatilie
No payment zina differ, wale waliopo kwenye taasisi zinazoingiza pesa ni different story
 
Kwani mshahara wa mwezi juni umeshatoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…