Serikali yafyeka mishahara ya watumishi

Kila senti inayozidi sh 500,000/= inastahili kukatwa kodi. FULL STOP.
 
Ngoja waangalie watakuja kwenye ule uzi ,mtu uko ughaibuni unaleta taarifa wakati wahusika wako kimya .
 
Inaripotiwa kuwa baadhi ya watumishi wamekumbwa na makato yasiyoeleweka ya takribani asilimia 3% kutoka kwenye mishahara yao.

Na bado wakienda mashine za ATM miamala yao inatozwa tozo hivyo mshahara halisi ni pungufu sana.

Mitano mingine kwa Mama, Oktoba wafanyakazi mtiki

N.B
No Reforms No Election 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…